TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
...asubiri kuona kafara itamuangukia nani na kwa prof.sosspeter sijui hakiyamungu hakukaliki.
anatakiwa awe tayari....kwa lolote...kwa kila uamuzi atakao uchukua huyu sospita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...asubiri kuona kafara itamuangukia nani na kwa prof.sosspeter sijui hakiyamungu hakukaliki.
ni kweli yericko hicho ulichokisema sio tetesi. stakabadhi za benki ya stanbic na akaunti moja ya mkombozi, vimebanwa.lakini cag alivielezea wazi kwa PAC na wakakubaliana raisi asiwajibishwe sasa kwani ni balaa na mkasi kwa nchi yeyote anaefanya hivyo.sasa kinachoendelea bungeni ni nani atolewe kafara ili kumlinda raisi.lakini mawaziri wamegoma na muhongo amekuwa akisababisha hasara kubwa kwa tanesco na hiyo huenda ni kutokana na matakwa ya raisi kuvuna fedha kwa ubinafsi kama inavyojidhihirisha hapo kwenye wamiliki wa hisa za simba.ni balaa nakwambia. nasubiri kuona kafara itamuangukia nani na kwa prof.sosspeter sijui hakiyamungu hakukaliki.
Jee tunaweza kujadili kwa uwazi bila ya kuwa upande wowote wa wabunge wanao komoana ?
1.Tuleteeni mkataba wa escrow hapa tuujadili
2.tuleteeni ripoti ya CAG
Tuleteeni ripoti ya Takukuru.
3. PAP sie mmiliki halali wa IPTL then nani mmiliki halali wa 70% wa iptl?
4.jee mbona hakuna kampuni au mtu yoyote alijitikeza hadharani kupinga umiliki wa PAP ? Na kudai yeye ndie mmiliki ?
5.jee mbona melchar malaysia wako kimya kuhusu shares hizo?
6.kwa nini PAC wameonesha ni halali kwa VIP kuuza share zake 30% kwa PAP wakati PAP sio mmiliki halali wa Iptl na kampuni yenyewe haina uhalali.? ..jee uuzaji huu nao sio haramu ? uuzaji huu nao bila shaka haukuwa na baraka ya waziri kama PAC inavotuambia kwa lazima uhamisho wa share hizi ukubaliwe na waziri?
7. Kwa msingi gani PAC wameiacha kabisa BOT katika hatia? Vipi waliridhia kutoa fedha hizo kama wadhamini wa mfuko kwa mtu ambaye si mmiliki halali ?
8. Vipi BOT walikubali kutoa pesa hizo ? Mkataba unasemaje ? Jee maofisa wake hawahusiki ? Bila shaka wao ndio watuhumiwa wa mwanzo lakimi PAC kwa sababu walishakua na lengo la watu fulani basi wakaacha kabisa suala la uzembe la BOT.
9. PAC inazungumzia juu ya Stanbic na Mkombozi Banks kuhusika na money laundering ...jee Vipi BOT hawahusiki ? Fedha nyingi kama zile kutolewa bila ya shaka zinatoka katika string rooms za BOT bila ya maelezo ya malipo kuhoji fedha zote hizo Banks husika za nini ? uzembe huu wa BOT ambao ndio wasimamizi wa fedha na fiscal policies jee hauja athir mzunguko wa fedha na kushuka kwa Shilling ?
Hakika BOT wanahusika lakini PAC wao walikua na dhamira zaidi za kisiasa.
Muhimu kwa JF ni kuletwa kwa makbrasha yote niliyoyataja hapo juu tukayajadili kama raia wa kawaida njee ya ripoti ya Zitto .hapo ndio kila mtu atajua ukweli bila ya kuwa influenced na PAC ambao dhahiri walikua Biased.
Mpaka hapo the accused are innocent !!
Kuna watu wazito sana kuelewa mambo; maazimio ya Bunge baada ya marekebisho ni kiboko kwa wezi wote watuhumiwa wa ESCROW. Heri akina Pinda wangejiuzulu tu kwa hiari yao lakini mathalan kalilia wembe kapewa, kalilia moto kapewa na kalilia kamba kapewa. Walemavu wa akili wanadhani Benki ya Stanbic ni sawa na Benki ya Mkombozi. Stanbic ni sehemu ya Standard Bank na ilianzishwa mwaka 1992 na katika muda huo imejaribu sana kujijengea heshima lakini hivi sasa imeshutumiwa na Bunge kwamba imetumika kutakasa pesa chafu.Vuta subira mkuu, kila kitu kitakujatu hapa,
Kuna watu wazito sana kuelewa mambo; maazimio ya Bunge baada ya marekebisho ni kiboko kwa wezi wote watuhumiwa wa ESCROW. Heri akina Pinda wangejiuzulu tu kwa hiari yao lakini mathalan kalilia wembe kapewa, kalilia moto kapewa na kalilia kamba kapewa. Walemavu wa akili wanadhani Benki ya Stanbic ni sawa na Benki ya Mkombozi. Stanbic ni sehemu ya Standard Bank na ilianzishwa mwaka 1992 na katika muda huo imejaribu sana kujijengea heshima lakini hivi sasa imeshutumiwa na Bunge kwamba imetumika kutakasa pesa chafu.
Kuna ushahidi kuwa akaunti ilifunguliwa mahsusi kupitisha hela na baada ya kazi hiyo kukamilika ikafungwa.
Stanbic wana majina na picha ya wote wale waliohusika kwa namna moja ama nyingine na tofauti na Mkombozi rekodi hizo haziwezi kuchakachuliwa hivi hivi kiswahili. Ni wakati muafaka tu unasubiriwa ukweli uwekwe wazi na ni hapo Watanzania watapata fursa ya kujua kwa nini nchi hii ya asali na maziwa ni masikini.
Uwepo wa Pinda kama Kiongozi wa serikali bungeni utasaidia sana katika huu ufuatiliaji hasa kama hao wengine watagoma kujiuzulu...hapo ndipo ngoma itanoga. Tutafika mahali kila moja itambidi aubebe mzigo wake mwenyewe na ole wake ambaye atajaribu kushindana na Tsunami itakayofuta. FaizaFoxy ni kama ajuza mchawi ambaye baada ya kuathirika kwa kuvuliwa nguo bado kakomaa hataki kuchutama, yuko tayari kumwaga radhi wajukuu wapate laana kuliko kujisetiri kwa kipande cha kanga. Ananikumbusha mwanamama aliyeitwa Elena Ceausescu aliyemtetea mmewe hadi risasi zinawashukia kama mvua ya mawe!
Pinda anao mtihani mkubwa sana na macho yote yameelekezwa kwake atafanya miujiza gani. Ataitumia kamba aliyoililia kujitundika mtini au atahakikisha hafi peke yake, anakufa na mtu. Maazimio ya Bunge yamepunguza sana ukubwa wa uwanja wa kuchezea na wezi wamebakiza siku chache tu katika zile zao arobaini!

Hayo ni mawazo yako yalipotoka mnona slaa alishindwa kupata hata kura elfu kumi akashindwa hata kusogea alipokuwa amesimama jk ni kiongozi hodari ndiyo maana kwa sasa tanzania haipo kwenye kundi la nchi 25 maskini duniani wakati2010 tulikuwa katika nchi kumi maskini soma hapa.
ni kweli yericko hicho ulichokisema sio tetesi. stakabadhi za benki ya stanbic na akaunti moja ya mkombozi, vimebanwa.lakini cag alivielezea wazi kwa PAC na wakakubaliana raisi asiwajibishwe sasa kwani ni balaa na mkasi kwa nchi yeyote anaefanya hivyo.sasa kinachoendelea bungeni ni nani atolewe kafara ili kumlinda raisi.lakini mawaziri wamegoma na muhongo amekuwa akisababisha hasara kubwa kwa tanesco na hiyo huenda ni kutokana na matakwa ya raisi kuvuna fedha kwa ubinafsi kama inavyojidhihirisha hapo kwenye wamiliki wa hisa za simba.ni balaa nakwambia. nasubiri kuona kafara itamuangukia nani na kwa prof.sosspeter sijui hakiyamungu hakukaliki.
sasa unajiuliza nini wakati mwanzo umetaja majina ya wamiliki wa hiyo kampuni? Acha kuchafua watu tena mbaya zaidi unamchafua mkuu wa kaya
Mkuu hapo nakupa hongera zangu..fotage zote zitakuwepo ..kama wao wa magamba wanavyotaka kujisafisha..ndivyo na stanbic bank nao wanataka wajinasue kutoka kwenye lawama hii...ngoja tuone itakuwaje!
Hebu soma hapa uone! Jamaana anadai kuwa 50% za hisa za kampuni ya PAP iliyochota pesas za Tegeta ESCROW zinamilikiwa na Salima na Miraji Kikwetu kupitia kampuni yao ya Simba Trust ya Australia!
Chini ya mkataba mpya, pia TANESCO itakuwa inalipa capacity charges 400m kwa siku!
Source: MAKUBWA YAMKUTA RAISI KIKWETE NA TAIFA KWA UJUMLA...... « Mchomvu Blogsite.Com

Hata wakilia hakuna wa kuwaonea huruma wacha wapande walichopanda