Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Kuwa kiongozi hakukufanyi kuwa mtakatifu, na Magufuli alikuwa mfano mmojawapo wa viongozi waovu.
Ni wapi nimeandika utakatifu wa kiongozi ?
Nchi ni takatifu....viongozi wakuu ni TURATHI ya nchi yetu Tanzania....kuwachafua...tena kwa msukumo wa maadui wa historia ya Tanganyika na Tanzania ni KUJINAJISI MWENYEWE.....
 
 
Kila kilichofanyika gizani kitawekwa nuruni.
 

Acha kuwaingiza choo cha kike.

Makandokando ya JPM ni mengi. Hata kama hii kitu siyo kwli lakini wakienda Mahakamani yataibuka mengine mengi kuliko unavyofikiria.
 
Nawe btoa ushahidi kukanusha alichoandika Eric Kabendera
 
Kwenye uislamu dini na siasa hazitenganishwi. Ni sarafu moja yenye chapa pande mbili.

Kuweka kumbukumbu sawa ndugu Kanali, Mtume alihama mara 1. Napo ni kutoka Makka na kwenda Madina.

Baada ya hapo maadui zake alipambana nao kwa namna walivyokuja ndivyo alivyowapokea.
 
Sasa kwa nini hili jawabu usingelitoa tangu mwanzo?

Mambo mengine kutukanwa kwa Mtume na dini yetu tunasababisha sisi wenyewe waislamu.

Mtu akikuuliza swali kama unalojibu toa jawabu na kama hauna mwambie nipe muda nitakujibu kuna majambo nayashughulikia kwanza ili uende ukatafute majibu ya uhakika.
 

Familia ya Ben Saanane wamepata pa kuanzia ......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…