Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Mimi nilifanya sherehe kubwa sana!
 
Sasa wewe na makafiri wenzio wasomi maprofessor nani anajua? Wewe mvuta bangi wa ubungo unapinga. Professor mkatoliki wa marekani anaandika wewe unapinga. CHUKI ZAKO HAZIONDOSHI UKWELI
Hauna haki ya kumwambia haya uliyaandika.

Msingi wa haya yote mpaka kufika alipofikia wewe ndiye umesababisha.

Kipi kilochokufanya usiweze kumjibu swali lake ambalo lilikuwa simple tu?

Mimi ni muislamu mwenzako lakini sikuona popote ulipomjibu zaidi ya kukimbia kimbia kutojibu swali kwa usawa.

Usijefanye smart, haya yote wewe ndiye msababishaji. Kwa sababu huyo unayemuita kafiri amekuuliza takribani mara 3 lengo ni kumjua Mtume wewe unamzungusha, unatarajia mwishoni angekujibu vipi?
 
Ingefaa sana kama haya madai yangechunguzwa na vyombo huru, muhusika wa mauwaji apelekwe mahakamani hata kama ni marehemu na akithibitika kwamba ni kweli alimuua huyo Ben saanane, basi adhabu yake anyanganywe hadhi zake na stahiki zake zote na pensheni kwa familia yake pia. Sisi wananchi hatukumtuma kwenda kufanya uhalifu wa kuuwa watu at point blank bila judicial process. Ni ajabu sana madai kama haya yanatolewa kwenye maandishi ( Kitabuni) halafu serikali wako kimya tu. Waunde tume huru iyaanike madudu yote, wahusika na familia zao wapewe joto ya jiwe.
 
Tupatie hicho kitabu ulichosoma kinachotoa maelezo ya namna hiyo!
 
Ww unajuaje km sio kweli? Maana mpaka mtu kuandika ana infomation
 
U
metumwa si bure,tuhuma huwa zina ukweli kiasi fulani.
 
Sahihi kabisa.....

Kutotolewa ripoti za uchunguzi za kupotea kwa watu na mamlaka husika ndio kunafanya watu binafsi kama kina 'Kabendera' kufanya chunguzi zao binafsi na kuibuka na tuhuma kama hizi.
Kumsafisha Magufuli ni ngumu sana!

Kama ilivyo kwa sasa hivi kwa mambo yanayotokea kumsafisha mama ni ngumu kwa sababu maswali hayatolewi majibu (kucheleweshwa kwa haki). Jawabu la moja kwa moja ni yeye kiongozi ndiye anahusika.
 
Kuna mtu nyuma ya hicho kitabu...



...Ni Hayo Tu!!
 
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Hili Mbona samia alisema pia kuwa pesa za plea bargaining zilikua sio tu zimeibwa ila zilikua zinafichwa China huko kwenye akaunti binafsi ya mtu!! Uki connect dots utagundua kuna mtu hakua msafi kivilee
 
 
I’m all for it. Ila Kabendera naye ni lazima atoe ushahidi na awataje waliomwambia.
Mmesababisha wenyewe? Kwani wangefanya uchunguzi na kutoa conclusion alipo Saanane hii vacuum ya taarifa isingekua taken advantage na kia mtu. Kuna mtu humu JF aliwahi mtisha kabisa kuwa itakua ndio message yake ya mwisho kumkosoa JPM na kwamba next time atajikuta mdomoni mwa chatu.

Cha ajabu badala ya kumkamata huyo TumainiEl ili aeleze walichomfanya Saanane, nyie mpo busy kutaka kumshtaki mwandishi wa habari aliyetoa taarifa ya kilichomkuta Saanane.

Nchi ya ajabu sana hii
 
I’m all for it. Ila Kabendera naye ni lazima atoe ushahidi na awataje waliomwambia.
Nyani Ngabu nahisi kabendera atakuwa anatafuta ukimbizi. Maana alichokiandika ni hatari sana kwake na famili yake. Kitamgharimu sana kizazi chake. Ndiyo yeye kajifurahisha anadhani atauza sana hicho kitabu lakini believe me ahakikishe watoto wake au ndugu zake wasitumie ubin aina moja, ni hatari sana. Dkt Magufuli is an icon, anapendwa sana na watanzania.
 
Kuna makosa mtu ukifanyiwa adhabu inayotosha kutoa ni kifo.
Mimi sishangai mtu akiua..!
Hivi Trump kafanyiwa mangapi? Ameshaua mtu? Tuache kuhalalisha ujinga. Kina chenge yameiba mabilion hayapigwi risasi ila hao wanaharakati ambao hawajawahi iba hata buku ndio walipotezwa. Hivi Saanane alistahili kifo kuliko majizi ya Tegeta Escrow?
 
Anapendwa na wewe na siyo Watanzania wote.
 
Acheni vitisho nyie sukuma gang muda wenu ulishapita na hakuna mjinga tena atawapa ikulu. Kwamba anapendwa hovyo hakosolewi? Lissu si huyo hapo mbona alirudi na bado anamkosoa JPM hadi leo, kafanywa nni? Ukishakufa umekufa hakuna mtu atapambania maiti ya ibilisi.
 
Hivi Trump kafanyiwa mangapi? Ameshaua mtu? Tuache kuhalalisha ujinga. Kina chenge yameiba mabilion hayapigwi risasi ila hao wanaharakati ambao hawajawahi iba hata buku ndio walipotezwa. Hivi Saanane alistahili kifo kuliko majizi ya Tegeta Escrow?
Uko sahihi wao CCM uhalifu ni kumkosoa Rais aliyepo madarakani lakini ufujaji wa mali za umma siyo uhalalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…