Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Mkuu NN aliyetuhumiwa ni Rais John Magufuli, kwamba tuhuma hizo zimeelekezwa kwa mtu aliyekuwa na madaraka ya uRais na sio John Magufuli aliyekuwa mtu tu asiye na cheo cha kitaifa kwamba familia yake imburuze bwana Kabendera kwa mizania hiyo...

Nadhani kama kuna kupelekana mahakamani basi ofisi ya Mwanasheria mkuu wa serikali ndio wataohangaika na bwana Kabendera...
 
Wewe ni mjinga Magufuli alikuwa hapendwi alikuwa maarufu kwa sababu ya uovu wake. Mimi mpaka leo nikisikia jina lake huwa naogopa nikihisi ni mtawala bado alinijeruhi sana kwenye biashara zangu baadhi ya ndugu zangu wapo mahabusu yapata miaka 7 sasa sababu ya serikali ya dikteta magufuli wa chato
 
Kulikuwa na Machifu na watemi na hata huko Asia na Ulaya kulikuwa na wafalme, masultan n.k Muhammad alikuwa na chei kipi mpaka aunde tume ya kuchunguza mauaji? Nijibu basi acha kukimbia kimbia
Mkuu mbona ni rahisi sana kuelewa kuwa Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake alikuwa ni kiongozi mkubwa tu wa dola. Alipohamia Madina mwaka 622 AD Muhammad alianzisha dola ya kwanza ya Kiislam yeye akiwa kiongozi wa kidini na kisiasa. Kutokana na uongozi wake uliotukuka aliweza kuiteka Makka na kuifanya Arabia yote kuwa sehemu ya dola ya Kiislam iliyokuwa na makao makuu yake pale Madina. Hata dola kuu ya Roma ilitambua uongozi wa Muhammad na mara kwa mabalozi kutoka pande hizi mbili walikuwa wakiwakilisha viongozi hawa.

Baada ya Muhammad kufariki dola hii iliongozwa na Makhalifa waongofu akianza Abubakar bin Quhafa, Omar bin Khattab, Uthman bin Affan na Ali bin Abi Talib. Kwa ufupi ni hivyo. Kuna rejea nyingi kwenye intaneti kama lengo lako ni kufahamu basi utafahamu.
 
Ama hukumjua Jiwe ama labda umeamua tu kuandika ili kuchokonoa mada, Familia inaujua zaidi ukatili wa Jiwe kuliko hata wewe.
 
Inasikitisha sana mpaka leo watu wanadhani jiwe alikua malaika. Tukisema leo watajwe watu makatili kuwai kutokea Afrika huwezi ukamuacha huyo kenge. Familia ya jiwe wenyewe wanamfahamu na hawawezi kutoka kukanusha sababu wanajua roho ya jiwe ilikuwaje. Mama jiwe amekula Mangumi na mateke sana ndio maana siku hizi yule mama ananenepa na kupendeza.
 
Ndio maana nimemshangaa sana mleta mada
Mleta mada ni mkongwe hapa JF anaishi abroad, nadhani anaujua uovu wa huyo meko vizuri.
Kabendera alichoandika ndio ukweli na wengi wa watanzania wanajua ukweli huo kuwa Magufuli alimmiminia risasi Ben wa saanane ikulu ya Dar es Salaama.

Na Jinsi Magufuli alivyokuwa mnyama hakuna aliyemtetea kuwa si kweli kuwa alishiriki mauaji ya huyo kijana.
 
Ukweli utazidi kujulukana tu walikua wanaua watoto watu kama kuku
 
Ukweli utazidi kujulukana tu walikua wanaua watoto watu kama kuku
Mimi mpaka leo nikisikia jina la Magufuli huwa natetemeka-ga nikihisi bado ni mtawala , alikuwa mafia sioni ajabu kabendera kumwandika wazi wazi kuwa alimuua Ben wa Saanane.
Hiyo ndio taabia ya ukweli , ukweli una taabia ya kujitetea wenyewe!

Nani angejua leo uovu wa magufuli ungeandikwa hadharani mpaka kufikia hatua ya kuchapisha kitabu?
 
Good.Umemjibu vyema msitari kwa msitari neno kwa neno na jibu kwa jibu.
 
Familia mnataka kuipa jukumu sio lao.
Serikali yenyewe ndio ifungue hayo mashtaka, mauaji "yanayotuhumiwa" yamefanyika katika viunga vya ikulu na mtu/watu "wanaotuhumiwa kuua" ni watu waliopewa dhamana na serikali. Kwa msingi huo "Serikali imeshutumiwa".

Familia haihusiki hapa, ametuhumiwa mtu aliekuwa MKUU WA NCHI, Ni wajibu wa serikali kurinda "emage" ya mtu wao, kwani shutuma za kitendo zilifanyika mtu huyo akiwa na madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…