Kwa sababu aliyempoteza ndio aliyempiga risasi kichwani na Kabendera amekuwa jasiri kumtaja. Ukituambia yuko wapi tutajua shetani yule hakumpiga risasi kichwaniKwamba yuko wapi na nani alimuua kwa kumpiga risasi kichwani ni mambo tofauti .
Ukweli ndiyo huo.Kwa sababu aliyempoteza ndio aliyempiga risasi kichwani na Kabendera amekuwa jasiri kumtaja. Ukituambia yuko wapi tutajua shetani yule hakumpiga risasi kichwani
Hiyo mimba yako utamzaa Lissu nakuhakikishiaEric Kabendera na TAL, vichwa na akili zao,ni sawa!
Ni watu wa kuepukwa sana
Kama ni lazima kuzaa sawa! Ila kama kuzaa sio lazima sitazaa kabisa kuliko kuzaa TALHiyo mimba yako utamzaa Lissu nakuhakikishia
Yeye na serikali yake walikaa kimya bila kufanya uchunguzi wa kupotea kwake sababu walihusika na tayari alikuwa ameishampiga risasi ya kichwaUshahidi kuwa Rais Magufuli alimuua Ben uko wapi?
Wote ni marehemu hakuna kesi Tena hapo!Yeye na serikali yake walikaa kimya bila kufanya uchunguzi wa kupotea kwake sababu walihusika na tayari alikuwa ameishampiga risasi ya kichwa
Basi punguza chuki za kike unapokuta wenye akili timamu wanazungumzia mambo muhimu, inakuwa kama TAL kakuchukulia bwana wako. Tuache kidogo tupumzishe na wivu wakoKama ni lazima kuzaa sawa! Ila kama kuzaa sio lazima sitazaa kabisa kuliko kuzaa TAL
Inawezekana makamu wake alikuwa pembeni yake wakati anampiga risasi ya kichwa ndio maana yuko kimya hata uchunguzi wa kifo cha Ben Saabane hatakiWote ni marehemu hakuna kesi Tena hapo!
Sasa tusali aliyekuwa makamu wa JPM wakati huo naye akate moto
Nyani Ngabu,Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.
Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.
Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Vigumu sana kuamini hilo.
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
🤣🤣Nyani Ngabu nahisi kabendera atakuwa anatafuta ukimbizi. Maana alichokiandika ni hatari sana kwake na famili yake. Kitamgharimu sana kizazi chake. Ndiyo yeye kajifurahisha anadhani atauza sana hicho kitabu lakini believe me ahakikishe watoto wake au ndugu zake wasitumie ubin aina moja, ni hatari sana. Dkt Magufuli is an icon, anapendwa sana na watanzania.
Where?Cold blooded murder is a serious allegation.
Kabendera must prove it.
Bush lawyerDefamation nzuri sana hii pesa njee njee
Kwanini Mwinyi hajawahi kusingizia kuuwa wala kuteka?Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.
Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.
Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Vigumu sana kuamini hilo.
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
Tutegemee nini kutoka kwa JINGAlaoNaunga hoja mkono
Kweli inafedhehesha sana kuingia na majuha na ujuha ule ule wa 2024 mwaka 2026tulikubalia humu kama wadau wa JF, kwamba mihemko, makasiriko na chuki binafsi tuziache 2024, ndrugu zangu mbona bado mnaendekeza chuki aise hadi 2025?
mbaya zaidi,
huna mawazo mapya wala huna fikra mbadala bora zaidi ya hoja au reply mahususi jukwaani.
Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise 🐒
Nendeni mahakamani harakaNdiyo mtaenda mkatoe ushahidi sasa! Mwandishi kaandika ujinga!
Waje Watafute Tuhuma Za MzilankendeScotland Yard waje wafanye uchunguzi uone kama watakubali. Hawataki, wakae kimya.
Mahakama ipi aliyotskiwa kwenda kuthibitisha huo ushahidi?Athibitishe kwa ushahidi mahakamani.
walau badilika gentleman mwaka huu mpya2025,Kweli inafedhehesha sana kuingia na majuha na ujuha ule ule wa 2024 mwaka 2026