Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Kwanini haya yote kipindi hiki?
Siyo bure kuna Mamba anasukuma kete nyuma ya haya na lengo lake ni nini hasa?

1.Warning alert kwa Mamlaka ukizingatia yaliyojiri 2024?

2.Legacy ichafuliwe kuelekea oktoba 2025 ili madudu ya awamu ya sita yasijadiliwe?

3.Kete za Ring Leader(King Maker OG) kutimiza lile lengo lake la kuwamaliza Push Gang ambao wamerudi kwenye system kwa Wingi kama back up ya Watch hundred baada ya kugundua zile njama za vijana 1970's na kuamua kuwatema na kukumbatia Timu White hair na Timu Push gang?

4.Ipo ajenda ya siri na tutegemee mengi kabla ya mwezi Agosti Mamlaka yatakapokuwa chini ya the State na pengine ile kauli ya mambo yakiharibika hizi ni dalili za mwanzo za kuvujisha siri tusizotegemea?

5.Tena haya yanajiri kipindi kuna mnyukuano mkali ndani ya CDM na pesa za Abdul zikitajwa sana.maswali ni mengi kuliko majibu ngoja tuone sababu tuhuma kama ile kwa aina ya kiongozi aliyetajwa hakika kuna mazito ni vyema kutulia zaidi kuliko kukurupa kutoa maoni Kabendera siyo mjinga na hata hao waliompa huo ushahidi wala siyo wajinga hata kidogo muda ni mwalimu mzuri.
 
Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.

Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?

Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381

Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.

Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.

Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.

Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.

Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.

Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.

If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.

Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.

Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.

Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.

Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.

Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.

Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.

Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.

Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.

Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.

Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?

Vigumu sana kuamini hilo.

Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.

La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
Nyani Ngabu,
Je na hao wazazi na ndugu wa hao ambao serikali ya Magufuli iliwaua na kuwatesa wakashitaki wapi? Je hao uhai wao hauna thamini?

Muhimu ni serikali iunde tume huru ya kuchunguza mauaji yote chini ya Magufuli na Samia. Hawa ni wauaji sawa na wauaji wengine wowote.

Unafikiri ile tume ya Samia ya kuchunguza kupotea pesa za serikali Kwanini hawajatangaza report yake? Mahela Kibao yalikutwa chato na mengine kupelekwa kwa Balozi wetu China.
Nashangaa mtu kama wewe unaendelea kuunga utawala dhalimu kama huo.

Wazazi wa Saanane wana haki ya kuidai serikali iwapatie mwili wa mtoto wao.
 
Nyani Ngabu nahisi kabendera atakuwa anatafuta ukimbizi. Maana alichokiandika ni hatari sana kwake na famili yake. Kitamgharimu sana kizazi chake. Ndiyo yeye kajifurahisha anadhani atauza sana hicho kitabu lakini believe me ahakikishe watoto wake au ndugu zake wasitumie ubin aina moja, ni hatari sana. Dkt Magufuli is an icon, anapendwa sana na watanzania.
🤣🤣
 
Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.

Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?

Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381

Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.

Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.

Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.

Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.

Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.

Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.

If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.

Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.

Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.

Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.

Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.

Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.

Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.

Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.

Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.

Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.

Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?

Vigumu sana kuamini hilo.

Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.

La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
Kwanini Mwinyi hajawahi kusingizia kuuwa wala kuteka?
 
tulikubalia humu kama wadau wa JF, kwamba mihemko, makasiriko na chuki binafsi tuziache 2024, ndrugu zangu mbona bado mnaendekeza chuki aise hadi 2025?

mbaya zaidi,
huna mawazo mapya wala huna fikra mbadala bora zaidi ya hoja au reply mahususi jukwaani.

Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise 🐒
Kweli inafedhehesha sana kuingia na majuha na ujuha ule ule wa 2024 mwaka 2026
 
walau badilika gentleman mwaka huu mpya2025,

sio una jipiga kifua kwamba ni mwerevu badala yake, una mbwelambwela tu kwa kubweza maoni na mitazamao ya wadau bila kupambanua uerevu wako na mawazo mapya bora zaid.

hiyo ni useless gentleman mahali pa heshima kama JF, right? :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom