Magufuli bila madaraka una maanisha Magufuli kabla ya kuwa hata waziri?Samia ana ubaya wa kuiga, Magufuli alikuwa kazaliwa nao. Huyo Samia ni ule ubaya baada ya kupata madaraka haya ya wizi wa kura, lakini ukimtoa kwenye madaraka ni wa kawaida sana. Magufuli bila hata madaraka alikuwa na roho chafu.
Toka akiwa anatambaa.Magufuli bila madaraka una maanisha Magufuli kabla ya kuwa hata waziri?
Hate can negatively affect the body by triggering the release of stress hormones, leading to increased inflammation throughout the body, which can manifest in various physical symptoms like headaches, digestive issues, high blood pressure, weakened immune system, and even increased risk of heart disease, all due to the chronic stress associated with harboring hatred; it can also contribute to mental health problems like anxiety and depression.Toka akiwa anatambaa.
Wote uliowataja walikua na direct interest na hao wazunguN
Nakupa homework wakati wa utawala wa Moi aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa kenya ni Scotland yard waliokuja kufanya uchunguzi.
Shambulio la ubalozi wa USA Tanzania ni FBI waliokuja kufanya uchunguzi, tusiende mbali maana nyie wengine ujuha ni sifa kupotea kwa Ben Saanane kwa nini hadi leo hakuna majibu? Vipi Ali Kibao?
Toa case relevant za kisiasa ambazo Scotland yard wameshindwa, zenye maslahi ya nchi siyo unaokoteza matukio irrelevant unaleta hapa, hayo mambo yenu ya propaganda za lumumba hazina nafasi kwa wenye akili timamu
Your mama knows meBush lawyer
Kwahiyo adhabu ni magufuli kumtandika risasi ikulu?Nimerud kusoma maandiko ya Ben juu ya madai ya PhD..madai yalikiwa mazito na Kwa madai hayolazima mtu ukasirike...Ben alipiga kwenye mshono sana
Spare me huo upumbavu wako, dhamira ya kutaka kupata kweli ndio ilisababisha waitwe kufanya uchunguzi.Wote uliowataja walikua na direct interest na hao wazungu
Kama hao wa kwetu waliouwawa wa feki na direct interest, ingrown hao wazungu wamekuja
We should know our limits
Investigation is costly, and whoever pays for it must have special interests
Lakini tayari yeye kashadanganya uraia tutajuaje kama anaendelea kudanganya na hayo mengine?Ukweli hauna nchi boss.
Shoga yake mliolewa wakati mmoja najuaYour mama knows me
Hawawezi kumpeleka mahakamani kwa sababu wanaogopa madudu yatakayoibuka kwenye cross examination.Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.
Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.
Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Vigumu sana kuamini hilo.
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
Nakuhakikishia hakuna nzi wala kiroboto yeyote anaweza kumshtaki Eric Kabendera kuhusu tuhuma za Magufuli kumuua Ben Saanane.Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.
Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.
Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Vigumu sana kuamini hilo.
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
Kwa hiyo Kabendera na wenzake wanaweza kuzusha mambo na kujificha chini ya hiyo ‘pandora’s box’.Nakuhakikishia hakuna nzi wala kiroboto yeyote anaweza kumshtaki Eric Kabendera kuhusu tuhuma za Magufuli kumuua Ben Saanane.
Wakifanya hivyo watakuwa wamefungua "Pandora box". Uovu wa Magufuli haumithiliki kwa kuwa hata familia yake sasa inajisikia nafuu kuishi bila Magufuli
Calling me out of my name is not proof that Magufuli killed Ben Saanane.Ni MPUMBAVU tu kama wewe ndiye hujui kuwa Ikulu ya Tanzania ilitawaliwa na kichaa kuanzia 2015 - 2021.
Kichaa hufanya lolote bila kujali athari zake ninini!! Magufuli alikwisha baka binti yake wa kuzaa mwaka 2012 na binti aka commit suicide, unadhani atashindwa kumuua Ben Saanane kwa bastola yake??
Naona umeleta upumbavu promaxSpare me huo upumbavu wako, dhamira ya kutaka kupata kweli ndio ilisababisha waitwe kufanya uchunguzi.
Investigation is costly and you mean we don't have interest of solving Lissu's attempted assassination? Hatuna interest za kujua BenSaanane yuko wapi? Kazi ya serikali siyo kulinda uhai na mali za raia wake?
Utakuwa una matatizo kichwani propaganda zimekujaa hadi unakuwa mpumbavu. Kwa nini vyombo vyetu vya usalama havitaki kuchunguza upoteaji wa Ben Saanane?
Umeruka hoja ya wazungu kuwa competent unaleta hoja ya kuwa wana interest na hao, bullshit kaa kwenye hoja ni kuwa hawawezi au interest?
Gobbledygook!Kwanini wewe badala ya kusema Kabendera Must be sued usiseme, serikali au vyombo huru viitishe uchunnguzi huru Kwa kuanzia na Kabendera Ili kupata ukweli na ukweli huo utumike kuchukua hatua ama Haki na maridhiano au kumshtaki Kabendera isipokua umekimbilia hatua ya tatu ambayo haitendi Haki kabisa?
Kwani Magufuli ni nani aisue for that sake of his political power?
Bado unaongeza vacuum bila kujali kwamba Ben Sanane is nowhere to be found and Azori Gwanda wa declared dead by Kabudi!
Hawa watu wakipatikana wakiwa hai na Lisu akapata Haki yake kwa wahusika kuletwa mbele ya Sheria then Magufuli is clean Kwa sababu he was the leader of the regime under which those crimes were committed and he did nothing to clean his hands until he faced the grave in miserable death!
Nani kamtetea mwendazake?Kama hakuhusika ufanyike uchunguzi huru na sio kumtetea mwendazake.
What Pandora’s box?Kuna kitu kinaitwa pandora box, je familia ya jiwe ina ujasiri wa kubariki na kutaka lifunguliwe?
Hiyo kesi haitakuwa tu ya kitaifa, itakuwa ya kimataifa. Dunia yote itafuatilia yanayojiri.
Be careful of what you wish for Nyani Ngabu! Je unajua kwa nini hakuna uchunguzi wowote ule ulifanyika?
Unachowashauri wana familia wakifanye ni ujinga, ndiyo ni ushauri wa kijinga.
Juhudi gani zilifanywa na jemadari mkuu kumlinda raia wake Ben Saanane? Hakuna!
Wapi ushahidi Magufuli alimuua Ben kwa kumpiga risasi?Kabendera hajaisema familia ya Magufuli bali kamsema Magufuli
By the way, familia ya Magufuli inaujua vizuri ukatili wa mzee wao
Nani kamtuhumu Samia kumuua raia kwa kumpiga risasi Ikulu?Akiguswa mtu wenu mnakuja juu,nyie kutwa mnamtukana Samia lakini mbona hamshtakiwi popote?au kwann huwa mnafurahia wapuuzi wakimtusi Samia?unadhani familia ya samia inafurahia?!
Kabendera alichoandika kama kweli au uongo ni haki yake kikatiba uhuru wakutoa maoni.