Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Kwamba Magufuli hawezi kua muuaji kama mauaji mengine duniani au nini hasa?

Nyani you are better than this

Tukipiga kura hapa,wanaoamini (the matter of opinion) kwamba jamaa aliua 90% tutaaamini tofauti na nyie upande wake
 
Vigumu lakini sio impossible. Kuondoa dhana zozote kuhusu kupotea kwa Saanane, serikali ituambie yupo wapi. Lakini serikali haijawahi kufanya uchunguzi makini au kutoa tamko rasmi.
Sijui hili wazo limetoka wapi, lakini kisheria marehemu hawezi kuwa DEFAMED kwasababu hana reputation ya kuilinda. Libel and Slander suits zinafanya kazi Inter-vivos (between living persons) tu.

Familia ya Raisi Magufuli wataweza kupata Locus Standi (Legal Ground) ya kumshitaki Bwana Eric Kabendera pale ambapo watathibitisha kwamba hiki kitabu kimechafua heshima waliyo nayo mbele ya jamii au kuwasababishia hasara fulani ya kiuchumi, ila haya mengini ni mapendekezo na hisia kali tu.

IKUMBUKWE: kwenye Libel na Slander Suits, The Burden of Proof inashift na kwenda kwa anayeshitaki. Hivyo familia ya marehemu Raisi Magufuli lazima iwe tayari kuthibitisha mbele ya mahakama kwamba haya yaliyoandikwa na Bwana Eric Kabendera ni uzushi ambao unalenga kuchafua taswira ya familia pamoja na kuwasababishia hasara ya kiuchumi.
 
Rais ni sawa na jalala sio kila kinachosemwa au kuandikwa kina haki ya kujibiwa mengi yanapotozewa tu.

Mwinyi ilisemekana mke wake Mama Siti alikuwa anauza 'sembe' akishirikiana na RIP Hassan Diria na ikasemekana kuwa lile jengo linalotazamana na mahakama ya kisutu ni la kwake lakini mpaka anaingia kaburini hakuwahi kujibu hizo tuhuma wala mkewe hakuhangaika nazo.

Mkapa alishikiwa bango na gazeti la Mwanahalisi kila wiki ikiandikwa makala kuhusu utajiri aliokuwa nao baada ya kuwa ameshaondoka ikulu mpaka ikasemekana kwamba JK aliamua kwa makusudi kumchafua mtangulizi wake, Mkapa hakuwajibu chochote mpaka anaaga dunia.

Kikwete nae alishambuliwa sana na media zetu lakini akaishia kutabasamu na siku zikapita bila ya kujibishana na yoyote.

Sioni sababu kwa familia ya JPM kuanza kuhangaishana na huyo Kabendera, walishapita waandishi na wahariri wengi kabla yake waliotumia nguvu nyingi katika kuwachafua marais na hekima ya muda ikatumika katika kuyamaliza hayo maneno yaliyoandikwa magazetini.

Tusitake kumsumbua Mama Janet tumwachie afurahie maisha ya uzeeni.
 
Unamuuaje mtu eneo kama Ikulu? Kabendera ameonyesha tu kiwango chake cha juu cha ujinga na kuandika kwa hisia.
 
Mimi naona kwa kuwa hili jambo ni kubwa mno.

Ili kuepuka habari za kusingiziana, kubambikiana na kudanganya. Ni vyema vyombo huru viundwe vya kimataifa vikishirikiana na Taifa kupata ukweli wa jambo hili na kuponya maumivu yaliyokuwepo, yaliyopo na yatakayokuwepo.
 
Mkuu unajibu hoja nzito kwa maelezo mepsi hivi?
 
Wakisema ni kweli utaninyonga!?
 
Kwamba Magufuli hawezi kua muuaji kama mauaji mengine duniani au nini hasa?

Nyani you are better than this

Tukipiga kura hapa,wanaoamini (the matter of opinion) kwamba jamaa aliua 90% tutaaamini tofauti na nyie upande wake
Magufuli kamuua nani?
 
Unamuuaje mtu eneo kama Ikulu? Kabendera ameonyesha tu kiwango chake cha juu cha ujinga na kuandika kwa hisia.
I still can’t wrap my head around it.

It’s too far-fetched.

I need more than just words of an unhinged bush-league journalist with an axe to grind.
 
Dah!

Naona mpaka watu niliowaweka kwenye ignore list tokea 2017 nao wameibuka na kuandika magazeti yao humu 🤣.

The lack of awareness and discernment.

They shall continue to be ignored. Toilet bowl scum shall never be elevated.
 
Magufuli kamuua nani?
Kamuu Ben Saanane

Wewe unakataa una 50% 50% chance kama mimi kua kweli au kutokua kweli

Alieandika kitabu kaweka evidences zake mle,alihoji wahusika wa Magufuli,evidences za recording anazo,wewe unabisha umemuhoji au kufanya research gani kumpita Kabendera?

Its seems wewe na Kabendera ni heri Kabendera kafanya research wewe hujafanya lolote

Tukuamini wewe kwamba hajaua kwa lipi hasa?
 
Wewe kusema Magufuli “Kamuu Ben Saanane” siyo 50-50 chance. That’s 100%.

That’s a declarative statement/ sentence.

A declarative statement/ sentence is one that states a fact.

That is abecedarian level math and English.

If you can’t even get those two right, I don’t think I can get into the weeds and the nuances of a complex matter with you because your baseline argument is wrong.
 
Kumburuza kwa lipi. Ukifanya mabaya ujue kuna consequence. Karma is bitch and it's real
 
Mkuu

Una vituko sana,sasa unadhani mimi ndio wa kubabaika na hizo slayers' slangs unazo bwabwaja hapa?

Magufuli kamuua Saanane,nimetoa kwa uhakika kwamba naamini 100% ni yeye,lakini what is the chance ya mimi kua sahihi?Ni 50:50 chance ninaweza kua sahihi au wrong

Wewe na mimi wote tupo sawa,tuna chance ya 50:50 kua sahihi au wrong no matter how affirmative tumetoa sentensi zetu hapa

Kwa Kabendera na wewe,tunamuamini zaidi yeye maana wewe hujafanya lolote,ni mpiga ramli kama sisi tu humu

Kabendera yeye kafanya utafiti na kahoji wahusika waliokua close na huyo dikteta,wewe au mimi hatujafanya lolote,tukuamini wewe kwa lipi hasa?
 
Anatetea wauaji ni kijana mdogo Nini?Hakuimba nyimbo za Idiamini wa Uganda na visa vyake!
 

Umeskiliza Kabendera kule You Tube katika Gumzo la Ghassani!
Kabendera amesema kile tulichomwambia Nyani Ngabu

1. Pubulisher zaidi ya 40 waliogopa kukichapa
2. Jopo la Wanasheria lilipitia maandiko kwa kina na utuo
3. Jopo la Waandishi wa Kimatifa lilipitia Kitabu kwa weledi
4. Habari za Ben zilikuwa page 15, publisher akasema ziwe 3 kwasababu wanaweza kuzitetea Mahakamani
5. Kwamba kuna habari hazikuelezwa kwasababu zinge reveal sources na kuziweka hatarini
6. Kwamba alianza kuandika akiwa magereza pamoja na ''maafisa'' waliokuwa kifungoni

Nasubiri waende Mahakamani! kama anavyoshauri NN
 
Wakiziachia hizo tuhuma bila kujibu, watakuwa wamezikubali kuwa ni za kweli licha ya kutokuwepo kwa ushahidi.

Naweza nikawa nakosea, ila familia ya Magufuli iko meek sana.

Wapo wapo tu na wala hawajielewi.

Tutaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…