Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Wakiziachia hizo tuhuma bila kujibu, watakuwa wamezikubali kuwa ni za kweli licha ya kutokuwepo kwa ushahidi.

Naweza nikawa nakosea, ila familia ya Magufuli iko meek sana.

Wapo wapo tu na wala hawajielewi.

Tutaona.
Tuitendee haki Familia ya JPM. Sidhani wana chochote cha kujibu au kueleza kwasababu hawakuwa sehemu ya Urais wake. Maamuzi mengi yalifanywa wao wakiwa nyumbani kama Wanafamilia tu.

Kuhusu Familia kuwa meek nakubaliana , sioni mtu anayeweza hata kumweleza Baba yao walivyomfahamu

Kuna Watu wanaweza 'kujibu au kutetea'' yaliyomo katika Kitabu. Hawa ni Pamoja na IGP wa wakati ule, Waziri wa mambo ya ndani wa wakati ule.
 
I mean, hata ile tuhuma tu ya Magufuli kutaka kumbaka Samia.

Samia naye yupo lakini naye kimya tu.

Kuna mawili hapo:

1. Ama ni kweli alitaka kubakwa [which I don’t believe] au,

2. Kuna concerted effort ya kumchafua mwendazake na mmoja wa wahusika ni Samia na ndicho kinachoweza kuelezea ukimya wake.

Rape/ attempted rape is a serious allegation that shall not go unanswered.
 
Nasubiri waende Mahakamani! kama anavyoshauri NN
Naamini hata serikali yenyewe haiwezi kuwakubalia kwenda mahakamani, itakuwa inajivua nguo.

Narudia kuwa ushauri wa Nyani Ngabu ni wa kijinga kwani yanayoweza kuzuka huko ni makubwa zaidi.

Taratibu nasoma hiki kitabu na mwandishi anaonekana alifanya homework yake kwa ustadi wa kiwango cha juu.
 
Nimemsikiliza vizuri ! Achosema Kabendera yapo mengi hayakuandikwa kwasababu yange ''link' na source na hao wangekuwa hatarini.

Eric anasema kuna habari za page 15 kuhusu Ben Saanane lakini baada ya majadiliano ya mwaka mzima ikaonekana ni vema iwe yale ya page 3 kwasababu publisher anaweza kusimama nayo Mahakamani .

Kuna kitu watu hawaja note , Kabendera ametaja specifically mwili ulitupwa '' Mto Rufiji''

Rufiji imetajwa makusudi kabisa kwasababu ni weak point! ya kuanza nayo.
Eric anajua nani aliubeba mwili na nani aliusindikiza hadi Rufiji.
Eric hakutaja siku wala saa au gari iliyobeba huo mwili na akina nani. Hii ni makusudi kabisa, ni ''silaha'' zake akisubiri watu wakurupuke. Kabendera anajua Dereva aliyeendesha anatosha kufungua pandora box
 
Nao hao ‘watu’ wasipokurupuka huyo Erick atakaa kimya au atawataja hao watu?
 
 
Kaka Nyani Ngabu aliyechafuka hapa ni Taifa la Tanzania na Watanzania kwani umesahau raisi ni wa Jamhuri sio wa familia? Ulipaswa ombi lako liende kwa Mamlaka ya Taifa letu.
 
Hapa kwa ninyi Wainglish mnasema '' Between the rock and a hard place''
Kumbuka Samia ni Rais kwasasa , si Raia wa kawaida kwahiyo majibu yake lazima yawe ''measured''

Rais Mkapa anajua madhara ya kukurupuka. Kesi ya Kitime ilimvua nguo baada ya kukurupuka
Kesi ya Idd Simba na tuhuma za Kampuni zake zilimvua nguo.

Tuhuma za rape ni nzito sana, jiulize kwanini zimeandikwa! kilichoandikwa ni preamble, kwa uhakika akina Kabendera wana mengi katika ''ghala lao''. Kujibu tuhuma hizo kunahitaji umakini sana!
 
Nao hao ‘watu’ wasipokurupuka huyo Erick atakaa kimya au atawataja hao watu?
1. Kutakuwa na ''volume 2'' itakayokuja na details! hivi ndivyo Waandishi waliobobea wanavyofanya.
2. Kunaweza kuwa na makala magazetini zikiwataja na reference ikiwa kitabu cha Eric
3. Pata nakala Amazon, ukisoma kuna mahali habari inakuelekeza '' huyu ni fulani''

Kitabu kimefungua ''pandora box'', kuna watu wanakisoma leo wanatetemeka! Itafika wakati wanatajana wenyewe kwa wenyewe. Kuna waliodhani hayatajulikana ! tayari treni imeshaondoka stesheni!
 
Unataka ushahidi gani?,wapeleke uone watu watakavyotiririka kitoa ushahidi,wao wenyewe unafikiri hawajui ninamna gani ndugu yao kawaachia mzigo wa vilio vya watu, yes he shot Ben with his Heckler pistol.the victims have a lot to say and they will
 
Yule dingi alikuwa chizi
 
There are only two options here.

Either the rape or attempted rape did happen or it didn’t happen.

Na kama haikutokea, ni rahisi sana kusema haikutokea.

Ukimya wa Samia hausaidii.

Licha ya hivyo, yeye sasa ni Rais . Chochote anachosema kinabeba uzito.

Hivyo labda apewe muda. Atajibu kwa kufuata timetable yake, hopefully.
 
Kumuelewesha chizi no kazi mkuu,shida wanafikiri vitabu vya namana hiyo ni kama kile cha Mabara the farmer
 
Nimesikiliza mahojiano kati ya Kabendera na mwanahabari mmoja ambapo Kabendera anadai rasimu ya kitabu chake ilipitiwa na watu ishirini, wengi, kama si wote, wakiwa ni wanasheria. Kwa mujibu wa Kabendera, kilichopishwa ni kile tu wanasheria walikubali kichapishwe kwa kuwa kinaweza kudhibitishwa mahakamani. Tusihumu bali tujipe muda, ukweli utadhihiri
 
Tungekuwa na polisi wanaojielewa wangekuwa wamemkamata na kuanza kumhoji kuthibitisha ushahidi na kama ni uongo abanwe kende zake Hadi zipasuke.Huwezi kuua mtu ikulu mbele ya umati wa watu.Haya madai anaweza kuyaamini kichaa

Tungekuwa na polisi wanaojielewa wangekuwa wamemkamata na kuanza kumhoji kuthibitisha ushahidi na kama ni uongo abanwe kende zake Hadi zipasuke.Huwezi kuua mtu ikulu mbele ya umati wa watu.Haya madai anaweza kuyaamini kichaa tu
Ni watanzania wechache wenye uwezo wa kutumia akili zao na kutafakari ..... Wengi wao fata mkumbo, Kisa kaandika kabendera
 
I’m all for it. Ila Kabendera naye ni lazima atoe ushahidi na awataje waliomwambia.
Atoe ushahidi kwa nani?
Kwa ma judge ambao Rostam alisema wanafanya kazi kwa simu za wakubwa?
Wachunguzi wa kimataifa waje na Kabendera atatoa ushahidi wake huko
 
Codes zilishatolewa siku nyingi na wakulia walishalia na wa kulaani walisha laani.
 
Tungekuwa na polisi wanaojielewa wangekuwa wamemkamata na kuanza kumhoji kuthibitisha ushahidi na kama ni uongo abanwe kende zake Hadi zipasuke.Huwezi kuua mtu ikulu mbele ya umati wa watu.Haya madai anaweza kuyaamini kichaa tu
Kama siyo kweli.
1. Kwanini kwenye uongozi wake watu walikuwa wanatekwa kama kweli Magufuli alikuwa kiongozi mzuri?
2. Unaweza kutuambia, kama Ben hajauliwa na Magufuli. Ben yupo wapi?
Kwenye uongozi wa Magufuli, Lissu alipigwa risasi kwa jaribio la kuuwawa. Mpk leo umesikia kuna kesi?
Juzi hapa kijana kachoma picha ya raisi, katekwa mpk leo haonekani. Stendi ya magufuli, mtu katekwa kweupe. Polisi au raisi amezungumzia?
Kitendo cha kumchukua mtu umbinye makende yake aeleze ukweli, tafsiri yake unataka upindue ukweli uwe uongo. Kwanini usimpeleke mahakamani ahojiwe hapo? Hata km wewe unaulizwa huku umebinywa makede yako utasema ukweli? Kitendo cha kumbinya mtu makede inaonesha namna uongozi ulivyokuwa wa kishetani.
Magufuli waziwazi alitamka Zanzibar kuwa angekuwa yeye asingempa stahiki za matibabu mgombea wa upinzani.
Rejea chaguzi za CCM ndiyo utajua hii serikali ni ovu kiasi gani. Magufuli alikuwa kiongozi mbaya, hilo alipingiki.
Roma alitekwa kipindi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…