Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Acha ujinga wewe wa kutetea matapeli hapa kama mtu alienda bila Imani si mwamposa amfanye huyo mtu awe na Imani acheni wiziSio kweli,
Anachokifanya Mwamposa ni kuinua au kuamsha imani yako ambayo ndiyo inakuponya. Sio yeye anayekuponya na ukifuatilia ibada zake utagundua hilo.
Ukienda bila imani, utarudi na changamoto zako. Sasa nani tapeli hapo kati ya wewe na Mwamposa.
Mungu niguse jibu liko hapaMagonjwa ya akili yapo kwenye familia nyingi na ni ya kurithi. Naona watu mnakimbilia uchawi.
Kuwa makini sana na utulize akili wakati huu ili usije ukapoteza muda na fedha, wakati tuliyonao si rahisi sana kupata tabibu sahihi.0624 117 794
Napatikana Napa hata Kwa kunipa Muongozo tu nitashukuru pia.
Waganga wapo wengi sana mkuu ila tatizo kupata mganga sahihi.Mi nanitolea kukupeleka kwa mganga bure sihitaji hata mia yako
Duh!! Pole Sana mkuu.Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Mrejesho
Wakuu nashukuru Kwa ushauri wenu mpaka sasa niseme nitaufanyia Kazi kadri nitakavyojaliwa.
Pia nimeona nianze na hii hatua ya maandalizi ya kumpeleka mgonjwa Dodoma yeye na Binti yetu pale Milembe , nitafanya huduma za hosptalini Ila pia sitoacha kumuombea kila siku.
Ikiwa unataka kuwasiliana na Mimi au Kwa chochote nifuate PM.
Pia nina kiwanja Heka moja ni kiwanja kipo katika muundo wa shamba ninakiuza ili pia kinisaidie katika hiki kipindi .
Gharama ya kiwanja ni maelewano kipo Katoro Bukoba Vijijini (Kagera)
Mungu awabariki nyote.ππ½
Kuna mtu alienda na mwanaye..wakachajwa laki 3Sijakataa Ila ninazo shuhuda..kikubwa asaidike
Mwamposa ni tapeli kama tapeli wengine. Ndugu wengine sana wameenda kule na kurudi hivyo hivyo.Ila watu wakiambiwa waende kwa manyaunyau hutawasikia wakisema ni tapeli, lakini Mwamposa wanatokwa hadi na mapovu.
Mbona watu hamsemi waganga wa kienyeji ni matapeli kama matapeli wengine mnamsema Mwamposa tuu?Mwamposa ni tapeli kama tapeli wengine. Ndugu wengine sana wameenda kule na kurudi hivyo hivyo.
Nashukuru Sana na barikiwa na Mimi nimechagua njia hiyo.Duh!! Pole Sana mkuu.
kama ulivyosema anzia hosptali na Endelea kumuomba Mungu .
Leo siko vzuri Ila kuna kitu kidogo Sana nitajaribu kukutumia .
Mambo ya Waganga usithubutu kwenda huko sio tu utatapeliwa Ila unaweza kuharibu kila kitu.
Nenda Hosptali na Mungu wako inatosha nothing impossible.
Nakuombea uinuke tena .
Pole sana mkuu kwa changamoto iliyojitokeza kwako na kwa familia yako.Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Mrejesho
Wakuu nashukuru Kwa ushauri wenu mpaka sasa niseme nitaufanyia Kazi kadri nitakavyojaliwa.
Pia nimeona nianze na hii hatua ya maandalizi ya kumpeleka mgonjwa Dodoma yeye na Binti yetu pale Milembe , nitafanya huduma za hosptalini Ila pia sitoacha kumuombea kila siku.
Ikiwa unataka kuwasiliana na Mimi au Kwa chochote nifuate PM.
Pia nina kiwanja Heka moja ni kiwanja kipo katika muundo wa shamba ninakiuza ili pia kinisaidie katika hiki kipindi .
Gharama ya kiwanja ni maelewano kipo Katoro Bukoba Vijijini (Kagera)
Mungu awabariki nyote.ππ½
Nenda Kwa Waganga....!Mwamposa ni TAPELI kama MATAPELI mengine tu
Asante Sana .Pole sana mkuu kwa changamoto iliyojitokeza kwako na kwa familia yako.
Mimi niko Dodoma kimakazi, ni mwenyeji kiasi, nina imani ukiwapeleka Milembe watapata huduma na kurejea katika hali yao ya awali.
Kwenye changamoto zaidi, tuwasiliane Pm
Kuna mmoja Ka comment aende Kwa Mganga wa Kienyeji, sijaona ukisema chochote....!Unataka kumuingiza mwenzio chaka akapoteze muda wake bure
Wakuu sijafanikiwa bado Ila ambaye yupo tayari tuzungumze kuhusu kiwanja namkaribishaHabari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Mrejesho
Wakuu nashukuru Kwa ushauri wenu mpaka sasa niseme nitaufanyia Kazi kadri nitakavyojaliwa.
Pia nimeona nianze na hii hatua ya maandalizi ya kumpeleka mgonjwa Dodoma yeye na Binti yetu pale Milembe , nitafanya huduma za hosptalini Ila pia sitoacha kumuombea kila siku.
Ikiwa unataka kuwasiliana na Mimi au Kwa chochote Ni-PM.
Pia nina kiwanja Heka moja ni kiwanja kipo katika muundo wa shamba ninakiuza ili pia kinisaidie katika hiki kipindi .
Gharama ya kiwanja ni maelewano kipo Katoro Bukoba Vijijini (Kagera)
Mungu awabariki nyote.ππ½
Mimi nilikua na changamoto kubwa sana, na nilishawahi kuongea na wewe inbox, Sina haja kueleza hapa mazungumzo yalikuaje...!OK basi sawa kikubwa asaidike na asiumizwe zaidi hasa kwenye upande wa gharama
Uzi huu nimeusoma kwa umakini inaonekana kuna vitu wamekushwa/kutupiwa vituhivyo basi tiba yake haiitajiki ktk hospital isipokua Kaa na wazee chini waulize lazima kutakua Kuna watu wanaowaamini wanaweza kutoa msaada ktk familia yko ukute umetafutwa ww ikaonekana uko vizuri hivyo wakaona watupie katk familia yako na isipokua makini inaweza kua mwendelezo katka uzao wako woteHabari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Mrejesho
Wakuu nashukuru Kwa ushauri wenu mpaka sasa niseme nitaufanyia Kazi kadri nitakavyojaliwa.
Pia nimeona nianze na hii hatua ya maandalizi ya kumpeleka mgonjwa Dodoma yeye na Binti yetu pale Milembe , nitafanya huduma za hosptalini Ila pia sitoacha kumuombea kila siku.
Ikiwa unataka kuwasiliana na Mimi au Kwa chochote Ni-PM.
Pia nina kiwanja Heka moja ni kiwanja kipo katika muundo wa shamba ninakiuza ili pia kinisaidie katika hiki kipindi .
Gharama ya kiwanja ni maelewano kipo Katoro Bukoba Vijijini (Kagera)
Mungu awabariki nyote.ππ½
Anacharge mkuu tena hela ndefu.ndugu zang flan walicharge laki ,3Mimi nilikua na changamoto kubwa sana, na nilishawahi kuongea na wewe inbox, Sina haja kueleza hapa mazungumzo yalikuaje...!
Ila Maombi na kuamini... Vimeniweka huru...!
Wapo Wachungaji Wana charge kweli gharama za kumuona ile one to one, ila Mwamposa hana mambo hayo.