Familia za kizungu....

Familia za kizungu....

kivipi? kwamba mnahicwa hamtaweza gharama za hapo au ni special kwa wake za wazungu tu?...mtoa thread haeleweki, angetupa maelezo bwana.

kwa mfano huko ulaya unaweza kusikia kuna club ya wa swahili tu na wanaoingia humo ni wa swahili tu japo anaweza kuingia na wengine wasio wa swahili. Hawa jamaa nao mtindo wao ni huo huo japo Mswahili hawezi kuingia.
 
Dina, usiombe yakukute....dunia utaiona chungu...na kinachouma zaidi atakayekukataza kuingia ni mswahili mwenzako ambaye ni mfanyakazi wa wazungu

Huyo mwafrika usimlaumu sana, naye ni mtendaji tu, kama ndio maagizo aliyopewa, asipokufukuza atafukuzwa kazi! kwa hiyo anakuambia kabisa' hakuna kuingia kwa sababu wewe mwafrika', au anazunguka kwa kuulizia membership card? iko maeneo gani?

Nafikiri, tunarudi kwenye soko huria, siamini kama kuna mahali anabanwa kwa kutokuruhusu watu wa aina fulani, na hata akiulizwa atasema hajazuia waafrika ila amezuia watu wasio members...blah blah...
 
niwakina nani hao wadada mami, mana natoa tu jicho hapo sielewi lolote?

huyo mwenye gauni nyeusi ni mama u-turn naona baadhi ya members wanataka kumfanya maarufu sana hapa JF, na huyo mwenye gauni ya zebra ni Captain nanilii na si mke wa mzungu,yeye kachumbiwa na mbongo mwenzetu.....ni hayo tu my dear
 
si rahisi kuingia hapo kwa mbantu...labda uwe umeolewa na mzungu...... halafu bia ni alfu nane

boflo,please make this clear.
ulienda ukakataliwa kuingia kwa sababu wewe sio mzungu?
ulikataliwa kuingia kwasababu wewe sio member hapo,ambapo members wengi ni wazungu?
ulishindwa kuingia kwa sababu ya bia 8000/-?
ukijibu haya maswali tunaweza kuwa na mada ya kujadili(ubaguzi wa rangi ndani ya nchi yetu)
 
Kama wanaingia hao Wazungu au walioolewa na hao...Sasa unataka tufanyaje Boflo!
tatizo nini?? ngoja na sie tuanzishe club kwa ajili ya wabongo tu..No mzungu, No Mdosi, No mwarabu....Maisha si ndio haya jamani??
 
tatizo nini?? ngoja na sie tuanzishe club kwa ajili ya wabongo tu..No mzungu, No Mdosi, No mwarabu....Maisha si ndio haya jamani??

Mbona zipo nyingi tu...
Kimboka By Night-Buguruni
Night clubs za uwanja wa Fisi
 
huyo mwenye gauni nyeusi ni mama u-turn naona baadhi ya members wanataka kumfanya maarufu sana hapa JF, na huyo mwenye gauni ya zebra ni Captain nanilii na si mke wa mzungu,yeye kachumbiwa na mbongo mwenzetu.....ni hayo tu my dear


ni nini hicho dearest?
 
mi ntaenda kutest, napenda kweli shari za hivyo.
 
Ni boflo peke yake ndio anawaona hao wasichana ni wazungu.
Pia george and gragon sio sehemu ya kibaguzi kama tulivyoaambiwa na aliyetuletea hii thread
 
kivipi? kwamba mnahicwa hamtaweza gharama za hapo au ni special kwa wake za wazungu tu?...mtoa thread haeleweki, angetupa maelezo bwana.

Huu ni uzishi laazizi wala usimsikilize Boflo. Hapo George & Dragon ni karibu na ofisi yangu ya zamani, na nilikuwa napita pale muda wa jioni kuonja bia mbili wakati nasubiri foleni ipungue.

Hayo ya eti Waswahili wanazuiliwa siyo ya kweli. Hakuna kitu kama hicho!
 
sijaelewa bado aaaaaaaaaaaaaaaaaaagh yaani mbongo hawezi kuingia hapo kisa ni gharama au ni marufuku ?????kumbe bado kuna ukabaila ...............

mkuu ni ukabila au ubaguzi wa rangi?
 
Mbona kuna waswahili kibao acha kutuzuga mkuu

IMG_3596.JPG
 
nadhani mleta mada alikataliwa kutokana na wajihi na jinsi alivyojifanya na akaonekana kuwa hapo sio mahala pake labda pale kwa Macheni na Traventine
 
Inawezekana hawakatai waafrika kuingia...wanakataa mtu asiyeeleweka eleweka jinsi mambo yake anavyofanya. Kama mtoto wa kiume akiingia choo cha kike unafikiri itakuwaje? watakupiga stop maana hiyo itakuwa ni uvunjaji wa taratibi za club.
Boflo labda kuna lingine maana sijawahi sikia hii story ya baa wa wathungu tu.
 
Mzushi huyu, hiyo club unaingia kama kawaida uwezo wako tu. Ipo barabara moja na IST High School.
 
Back
Top Bottom