Familia za kizungu....

Ndio hao ni wazungu kabisa tatizo walitumia muda mwingi katika sunbed na matokeo yake wameunguwa.
 
 


Juzi ilibidi niende pale kujua ukweli mida ya saa 7 usiku nikamkuta mlinzi wa kizungu getini akaniambia watu wote wanaruhusiwa kuingia tena bila kiingilio chochote ila lazima uwemo ndani kabla ya saa 6 usiko. So entrace is for all regardless of races but at midnight the gate closed...
 
Huyo aliyevalia black ni mama u-turn au ali maarufu kama Mange Kimambi Lowrey!!! Ni mke wa muthungu kwa sasa and she is expecting!!! Huyo wa nguo kigongo wazi blue ni rafikiye ambaye siku hiyo alikuwa na birthday na mumewe ni muthungu yule aliyemkamata kiuno!!!! Kweli bongo kuna vijimambo!!!
 

Uko deep sana mkuu
 
Hapo wanaingia wale wanaume na wanawake wenye kuvizia wazungu kwa sana kabisa...Asi kwambie mtu, Nilishaingia zaidi ya mara 2 , kuingia ni free hakuna kubaguana, Ila humo ndani kuna mambo kwani ni kama show time za James Bond 007, kuwindana kwenda mbele, Si wanaume weusi kuwinda wana wake wa wa

kizungu wala wana wake weusi kuwinda wanaume wa kizungu, Ni aibu tupu, Na hii yote ni njaa itokanayo na uchumi wa nchi.
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
Kwani nisipoingia hapo napoteza nini kwenye maisha yangu, wao hata wangesema hauruhusiwi hata kusoma hicho kibao walichoandika ni poa tu kwa sbb haina athari yoyote kwny maisha yangu, tuzinduke waafrika, kutaka kujikweza tusikoweza kunatuharibia mipango mingi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…