Familia zaamua Bobbi Kristina afe siku aliyokufa mama yake Whitney Houston (11/Feb)

Huku kwetu wauza unga wanasifiwa , mara ohoo matajiri , sijui vocation , ohoo wanavaa dizaina , Wamama wauza unga wanaingilia hadi Mapenzi ya wadogo zetu wa kiume hatuoni tunaona pesa tu kutwa kusifia ujinga ujinga tu , Watanzania tulilogwa na nani ??? Mnatumalizia Watoto wetu jamani :shetani::shetani:
 
pangs of remorse,like mom like daughter.....anyway no body is ever perfect....but 4 real it pains deepdown the hearts.....go baby gal,go...go n rest in peace....ameen
 
Hivi vifo vina ishu…, ukifatilia.hata WH alivyokufa ni magumashi tu....RIP bob
 
Ina maana anaishi kwa msaada wa mashine ya kupumulia si wamuache tu anaweza kupona jamanii huyu nae ni madawa ndio yamemfanya hivyo jamaniii
Madaktari walisha declare hawezi kuishi tena kama siku 5 zilizopita kwahiyo jukumu la kuzima life supporting machine waliachiwa wanafamilia!but mungu anaweza kutenda miujiza pale maarifa ya binadamu yanapoishia lets cross our fingers...
 
Kwanini wasimuache kwenye mashine mpaka siku yake itakapofika? Si USA wana Insurance?
 
Bobby na Whitney ni African-American,na tumejengwa na misingi mizuri ya mwalimu nyerere katika AHADI 10 ZA MWANA TANU namba moja inasema "Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja".

Kwa hiyo unaamini Bobby ni ndugu yako??.. dah ngoja nizime laptop sasa maana hapa ntaendelea kushuhudia maajabu tuu kutoka kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…