Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Oct 6, 2024 #1 Wanasema kuzaa si kazi kazi ni kulea, unaposafiri na under teenage unawajibika kuhakikisha usalama wao ikiwezekana una lala nao chumba kimoja.
Wanasema kuzaa si kazi kazi ni kulea, unaposafiri na under teenage unawajibika kuhakikisha usalama wao ikiwezekana una lala nao chumba kimoja.
P povour3 Senior Member Joined Dec 11, 2019 Posts 177 Reaction score 638 Oct 8, 2024 #2 Room Iko njema sana.