Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Nyie ndio mlihudhuria Shule sio kwenda kusoma tafuta oxford dictionary ikusaidie.Haya, hebu punguza ujinga wako!
Paw:
2. (informal) a person’s hand.
Eg. Take your filthy paws off me!
Source
Safari ijayo usipende kukosoa mambo usiyoyajua.
Nilijua ni ushuzi tu sikuhangaika hata kusoma.Hahahahaaaaa daaaaah!
Kumbe hata kusoma na kuelewa hujui!
Nimekuwekea fasili na nikakupa na chanzo lakini wapi.
Kaaazi kweli kweli.
Nyie ndio mlihudhuria Shule sio kwenda kusoma tafuta oxford dictionary ikusaidie.
Nilijua ni ushuzi tu sikuhangaika hata kusoma.
Nyinyi kina nani?
Kwa mtu Firwauni kama wewe uliye iona tafsiri namba moja kisha unajitia upofu inatosha kukuambia elimu yako ina kutosha kuvalia nguo tu usitembee uchi vinginevyo walimu wako walipata tabu sana.Ahaaaa...kumbe ndo maana umeandika pumba.
Wewe ni zaidi ya mjinga. Ni juha.
Tena juha kama jiwe!
Pole zako.
Nafurahi kuona shemeji sio mtz maana tusingepata usingizi,haswaaa kama angekua ""MAMA KIJACHO HEWA""
Ha ha ha! Aah! Tayari cheche zime washa msitu wataibuka wengi tu hizo picha lazima zitaumiza.
Kwa mtu Firwauni kama wewe uliye iona tafsiri namba moja kisha unajitia upofu inatosha kukuambia elimu yako ina kutosha kuvalia nguo tu usitembee uchi vinginevyo walimu wako walipata tabu sana.
They seem like a happy family.
They look good.
Hopefully it's not a facade.
Their little munchkin doesn't seem to be bothered by the elements and I notice she doesn't have gloves on [in the last two photos].
That baby can easily get frostbite.
Both mommy and daddy need to get slapped upside their heads for failure to put gloves on those fragile little paws.
Shame on them.
Tehteh!!wewe unasema Nairobi?wakati kuna wengine wanazeeka na ndoto zao za kufika Dar tu!!dah ka baby tiffa kadogo lakini kamesafiri ulaya wengine humu hata nairobi bila bila kwa umri wa uzee sasa
And you too.
Labda nikushauri tu upeo wako wa uelewa ni mdogo sana ila ubishi una kuharibia zaidi,tumbo la pumzi na kuhara ni maradhi tu lakini naona kama una tatizo la ziada.Kwenye lugha, neno kuwa na maana zaidi ya moja ni jambo la kawaida sana.
Lakini kwa jinsi unavyojamba na kuhara hapa, sidhani hata kama unalijua hilo.
Labda nikushauri tu upeo wako wa uelewa ni mdogo sana ila ubishi una kuharibia zaidi,tumbo la pumzi na kuhara ni maradhi tu lakini naona kama una tatizo la ziada.
doesnt matter,she can only get sick by get not used with weather,otherwise shes safeAnd I'm talking about a little baby here, not grown ups!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana mkuu umeandika kwa majonzi matakatifu....(mm pia pole)dah ka baby tiffa kadogo lakini kamesafiri ulaya wengine humu hata nairobi bila bila kwa umri wa uzee sasa
doesnt matter,she can only get sick by get not used with weather,otherwise shes safe
Hahahahaaa....Huh!
Is that English?
May be south korea au South Sudan.Huu ni ubwege wewe mwenyewe zinakuhusu nini??
Kila kitu mnashabikia hata mtu akiwa chooni anapiga picha mnashabikia yani iyo nchi inaongoza kwa mazombi huyo domo kaja sauzi wala hakuna anaemshpbokea
Usiumie sana hujui utakufia wapi,kwan ata mama komban,ngwear,leticia nyerere,kigoma malima,Jk NYERERE,KIGODA n.k.... nao walifanikiwa kwenda out of tz.dah ka baby tiffa kadogo lakini kamesafiri ulaya wengine humu hata nairobi bila bila kwa umri wa uzee sasa