Family Crush!Diamond Platnumz,Zarithebosslady and Baby Tiffah in Sweden

Family Crush!Diamond Platnumz,Zarithebosslady and Baby Tiffah in Sweden

Nyie ndio mlihudhuria Shule sio kwenda kusoma tafuta oxford dictionary ikusaidie.

Ebana eeh....wewe ni zaidi ya mjinga!

Hivi umebonyeza hiyo link niliyokuwekea?

Hiyo fasili namba mbili ni kutoka kwenye kamusi ya Oxford.

Sasa unaniambia eti nitafute Oxford Dictionary wakati tayari nimeshakuwekea fasili toka kwenye hiyo hiyo kamusi unayonambia nikaitafute.

Wewe ni zaidi ya mjinga.
 
Ahaaaa...kumbe ndo maana umeandika pumba.

Wewe ni zaidi ya mjinga. Ni juha.

Tena juha kama jiwe!

Pole zako.
Kwa mtu Firwauni kama wewe uliye iona tafsiri namba moja kisha unajitia upofu inatosha kukuambia elimu yako ina kutosha kuvalia nguo tu usitembee uchi vinginevyo walimu wako walipata tabu sana.
 
Nafurahi kuona shemeji sio mtz maana tusingepata usingizi,haswaaa kama angekua ""MAMA KIJACHO HEWA""
Ha ha ha! Aah! Tayari cheche zime washa msitu wataibuka wengi tu hizo picha lazima zitaumiza.

Huu ni ubwege wewe mwenyewe zinakuhusu nini??

Kila kitu mnashabikia hata mtu akiwa chooni anapiga picha mnashabikia yani iyo nchi inaongoza kwa mazombi huyo domo kaja sauzi wala hakuna anaemshpbokea
 
Kwa mtu Firwauni kama wewe uliye iona tafsiri namba moja kisha unajitia upofu inatosha kukuambia elimu yako ina kutosha kuvalia nguo tu usitembee uchi vinginevyo walimu wako walipata tabu sana.

Kwenye lugha, neno kuwa na maana zaidi ya moja ni jambo la kawaida sana.

Lakini kwa jinsi unavyojamba na kuhara hapa, sidhani hata kama unalijua hilo.
 
They seem like a happy family.

They look good.

Hopefully it's not a facade.

Their little munchkin doesn't seem to be bothered by the elements and I notice she doesn't have gloves on [in the last two photos].

That baby can easily get frostbite.

Both mommy and daddy need to get slapped upside their heads for failure to put gloves on those fragile little paws.

Shame on them.

And you too.
 
dah ka baby tiffa kadogo lakini kamesafiri ulaya wengine humu hata nairobi bila bila kwa umri wa uzee sasa
Tehteh!!wewe unasema Nairobi?wakati kuna wengine wanazeeka na ndoto zao za kufika Dar tu!!
 
Kwenye lugha, neno kuwa na maana zaidi ya moja ni jambo la kawaida sana.

Lakini kwa jinsi unavyojamba na kuhara hapa, sidhani hata kama unalijua hilo.
Labda nikushauri tu upeo wako wa uelewa ni mdogo sana ila ubishi una kuharibia zaidi,tumbo la pumzi na kuhara ni maradhi tu lakini naona kama una tatizo la ziada.
 
Labda nikushauri tu upeo wako wa uelewa ni mdogo sana ila ubishi una kuharibia zaidi,tumbo la pumzi na kuhara ni maradhi tu lakini naona kama una tatizo la ziada.

Kwa hiyo hapo mwenyewe umejipinda kweli kweli kunipa ushauri, siyo?

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
dah ka baby tiffa kadogo lakini kamesafiri ulaya wengine humu hata nairobi bila bila kwa umri wa uzee sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana mkuu umeandika kwa majonzi matakatifu....(mm pia pole)
 
Huu ni ubwege wewe mwenyewe zinakuhusu nini??

Kila kitu mnashabikia hata mtu akiwa chooni anapiga picha mnashabikia yani iyo nchi inaongoza kwa mazombi huyo domo kaja sauzi wala hakuna anaemshpbokea
May be south korea au South Sudan.
 
Sasa Diamond watoto wake wengine kawaacha mbona?
 
dah ka baby tiffa kadogo lakini kamesafiri ulaya wengine humu hata nairobi bila bila kwa umri wa uzee sasa
Usiumie sana hujui utakufia wapi,kwan ata mama komban,ngwear,leticia nyerere,kigoma malima,Jk NYERERE,KIGODA n.k.... nao walifanikiwa kwenda out of tz.
 
Back
Top Bottom