Family Marriages VS Love Marriages: Which is which?!

Hapa mpwa unanikumbusha machungu alinipa alisema cmu imekwisha chaji akifika Mby atachaji usiku mzima namtafuta simpati mpaka saizi napiga simpati nahisi Jose alinizinguka kiaina maana alitoweka gafla nikawa namtafuta baadae nikamkuta na mtoto.

dah..hiki sasa kilio aka msiba kama wa kagera sugar jana duh! atakuwa amekupa namba sio kabisa!
 
Geoff hizi ndo za zamani na za kikabila watu wanaoana wakiwa hawapendani ni kwa ajili ya heshima za kifamilia tu mapenzi yanakuja pale wanapoanza kukaa pamoja ndio wanapojifunza kupendana hata kwa kujilazimisha na kwa sababu ya heshima ya kifamilia waoanajai wanashindwa kuzivunja hata kama huko ndani kunawaka moto wa kifuu..
 
nipe msimamo wako sasa...!
 
nipe msimamo wako sasa...!

Msimamo wangu ni vyema tuendee na ndoa zetu za kileo lakini tufikirie zaidi kuboresha kuliko kubomoa ..mafahari wawili huwa hawaishi zizi moja ati
 
Msimamo wangu ni vyema tuendee na ndoa zetu za kileo lakini tufikirie zaidi kuboresha kuliko kubomoa ..mafahari wawili huwa hawaishi zizi moja ati
NOTED!with maaany thanks
 
hii sredi?si inazungumzia ARRANGED MARRIAGES na hizi za kithatha?

Ahaa! Sasa inakuwaje tena maofu topic!
Nimerudi sasa!
Atakayeenda ofu topic anakula ban!
Mi napenda Marieji za Kudumisha mila baada ya kutongozana!
 
Ahaa! Sasa inakuwaje tena maofu topic!
Nimerudi sasa!
Atakayeenda ofu topic anakula ban!
Mi napenda Marieji za Kudumisha mila baada ya kutongozana!
hata mimi,
labda tujadili nini kifanyike kuzipunguza hizi cheatings,na break-ups!hapa ndp utata.
mj1 ametiririka vizuri sana kwenye hii sredi
 
hata mimi,
labda tujadili nini kifanyike kuzipunguza hizi cheatings,na break-ups!hapa ndp utata.
mj1 ametiririka vizuri sana kwenye hii sredi

Ngoja nifwatilie mtiririko wa homeboi wangu Kaizer.....:Z!
Mi bwana sina haja ya kutiririka. Mi napendelea ndoa za kutongozana wenyewe kwa wenyewe. Yakiwashinda hauna wa kumlalamikia. Hapo ndipo ile dhana ya KUDUMISHA MILA kabla ya kuoana inapoplay part kubwa! Lakini ile ya kutafutiwa................... Hapana kwakweli. Mtanisamehe!
 
hata mimi,
labda tujadili nini kifanyike kuzipunguza hizi cheatings,na break-ups!hapa ndp utata.
mj1 ametiririka vizuri sana kwenye hii sredi
ili hii tabia iishe kabisa ni kumcha mungu na kumuweka mungu mbele kwa kila kitu huku ukitafakari amri zote kumi za mwenyezi mungu kamwe hutacheat na hutaweza kubreak na kamwe ndoa itakuwa ya amani na mtakuwa mfano bora wa kuigwa mbele za mungu.
 
Ndoa ipi unaisemea hapo?
Ya kujitafutia mwali au ya kutafutiwa?
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 11 (6 members and 5 guests) Chrispin Ama, MwanajamiiOne, Shishi

Huyu binadamu anayekwenda kwa jina la Shishi, mbona anachungulia hapa tu hachangii mada? Afu nimemmisi sana huyu binadamu mwenzangu.
 
kilichokuwa kinafanyika ni tathmini tu mzee mwenzangu!kwa maisha ya sasa arranged marriages haziwezi kuwa into application.ni maeneo machache sana.hoja hapa ni kwamba hizi family marrieges zimeonekana kuwa successful kwa kipindi chake ukilinganisha na hizi ndoa za mapenzi.ndoa za mapenzi zimeleta na zinaendelea kuleta matatizo makubwa sana.

TUFANYE NINI SASA?...mj1 ameeleza vizuri.mimi kueleza kwa ungwine siwezi,labda kwa formula.lakini mj1 nimemkubali amenielewa mapema zaidi.kaizer..HAJANIELEWAπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…