MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Hivi tunazungumzia nini vile??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mpwa unanikumbusha machungu alinipa alisema cmu imekwisha chaji akifika Mby atachaji usiku mzima namtafuta simpati mpaka saizi napiga simpati nahisi Jose alinizinguka kiaina maana alitoweka gafla nikawa namtafuta baadae nikamkuta na mtoto.
nipe msimamo wako sasa...!Geoff hizi ndo za zamani na za kikabila watu wanaoana wakiwa hawapendani ni kwa ajili ya heshima za kifamilia tu mapenzi yanakuja pale wanapoanza kukaa pamoja ndio wanapojifunza kupendana hata kwa kujilazimisha na kwa sababu ya heshima ya kifamilia waoanajai wanashindwa kuzivunja hata kama huko ndani kunawaka moto wa kifuu..
Hapo sasa naanza kukuelewa!
Naendelea na tafakuri!
Will be back soon!
nipe msimamo wako sasa...!
FL1 Huu msemo unanichekeshaga kila niusikiapo.Msimamo wangu ni vyema tuendee na ndoa zetu za kileo lakini tufikirie zaidi kuboresha kuliko kubomoa ..mafahari wawili huwa hawaishi zizi moja ati
huwa unakumbuka nin?....😀
hii sredi?si inazungumzia ARRANGED MARRIAGES na hizi za kithatha?
hata mimi,Ahaa! Sasa inakuwaje tena maofu topic!
Nimerudi sasa!
Atakayeenda ofu topic anakula ban!
Mi napenda Marieji za Kudumisha mila baada ya kutongozana!
hata mimi,
labda tujadili nini kifanyike kuzipunguza hizi cheatings,na break-ups!hapa ndp utata.
mj1 ametiririka vizuri sana kwenye hii sredi
ili hii tabia iishe kabisa ni kumcha mungu na kumuweka mungu mbele kwa kila kitu huku ukitafakari amri zote kumi za mwenyezi mungu kamwe hutacheat na hutaweza kubreak na kamwe ndoa itakuwa ya amani na mtakuwa mfano bora wa kuigwa mbele za mungu.hata mimi,
labda tujadili nini kifanyike kuzipunguza hizi cheatings,na break-ups!hapa ndp utata.
mj1 ametiririka vizuri sana kwenye hii sredi
ili hii tabia iishe kabisa ni kumcha mungu na kumuweka mungu mbele kwa kila kitu huku ukitafakari amri zote kumi za mwenyezi mungu kamwe hutacheat na hutaweza kubreak na kamwe ndoa itakuwa ya amani na mtakuwa mfano bora wa kuigwa mbele za mungu.
kilichokuwa kinafanyika ni tathmini tu mzee mwenzangu!kwa maisha ya sasa arranged marriages haziwezi kuwa into application.ni maeneo machache sana.hoja hapa ni kwamba hizi family marrieges zimeonekana kuwa successful kwa kipindi chake ukilinganisha na hizi ndoa za mapenzi.ndoa za mapenzi zimeleta na zinaendelea kuleta matatizo makubwa sana.Ngoja nifwatilie mtiririko wa homeboi wangu Kaizer.....:Z!
Mi bwana sina haja ya kutiririka. Mi napendelea ndoa za kutongozana wenyewe kwa wenyewe. Yakiwashinda hauna wa kumlalamikia. Hapo ndipo ile dhana ya KUDUMISHA MILA kabla ya kuoana inapoplay part kubwa! Lakini ile ya kutafutiwa................... Hapana kwakweli. Mtanisamehe!