Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitumie kopi ya hiyo pi-emu ya wikiendi😀
Da! binamu, talking of kibluray, leo umeamua aisee! yani umenikumbusha enzi zile za kuandika essay za history au literature, compare and contrast! ningekuwa mwalimu hapa ningekupa excellent!dah...mi narudia tena kusoma mwanzoni nione kama yenyewe inahitaji kueleweka ama hata yenyewe (mada) haieleweki😀😀
Marriage as aninstitution has been subject to changes in temporal and spatial dimensions-in any given society. We cannot blame ourselves for this....as it is just a natural process of change. we can modify the changes, but we cannot stop them.
As for our society, we are praising the traditional/arranged marriages of the past (of which some few tribes still uphold them) while, at the same time, playing down the un-equal sharing of the marriages' costs and benefits. While, in many occasions the MAN assumes a dominant role, the WOMAN is usually the subject of prejudice, hard work and little respect from the MAN's family-given the hefty dowry paid.
On the contrary, 'modern' marriages would involve a voluntary unione of a man and woman to live as husban and wife with minimum external influence, be if from parents or friends/relatives.
There is no evidence that if the past society with the traditional marriages was expesoed to the current level of development and technology, the same wouldn't have occured.(i.e the alleged cheating and mistrust in modern marriages)
Therefore, I would say that while we are craving for the past marriages, it is important that we understand the changes that have occurred over time and the consequences of the changes. More importantly we should embrace the basic ingredients of any relationship: LOVE, TRUST, and RESPECT. No marriage would fall if these three are present.
Mabinamu makambako ndio sirari🙂hangover za mchana
naombeni picha tafadhari
hata kopi utakayonitumia si itakuwa PI-EMU?😀
Da! binamu, talking of kibluray, leo umeamua aisee! yani umenikumbusha enzi zile za kuandika essay za history au literature, compare and contrast! ningekuwa mwalimu hapa ningekupa excellent!
I am Still thinking aloud in my honeymoon!...
Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...!
Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS:
1-FAMILY MARRIAGES-hizi ni kwamba kijana akishafikia umri wa kuoa anawasilisha hitaji lake kwa wazazi.ni jukumu la wazazi kuangalia ni familia gani ina binti mzuri wa tabia,na pia kuangalia historical backgrounds za hiyo familia.from there makubaliano yote hufanywa na wazazi wa pande mbili.Ndoa hizi ndizo asili NA MILA ZETU WAAFRIKA.ndoa hizi bado baadhi ya makabila wanazienzi na kuzidumisha.wakati wa ndoa hizi hakukuwa na mambo ya break-ups..!hizi ndoa siwezi kusema zilikuwa na mapenzi kwa maana ya mapenzi...!hizi ndoa zilikuwa na kitu kingine MORE THAN/APART FROM LOVE!...hizi ndoa wenzetu wahindi bado wanazienzi na kuzidumisha...!asilimia 90 ya hizi family marriages ni SUCCESSFUL!(kwa research yangu)
2-LOVE MARRIAGES-hizi ni western types za marriages.ni kwamba couples wanakutana/fahamiana mazingira yoyote yale,jf,kaunta,bar,shuleni,kazini n.k.huko wanaanza na MAPENZI,KUFANYA MAPENZI n.k.baada ya hapo wanaangalia kama wanaweza kuishi pamoja then wanafanya mikataba ya hiari....!hizi ndoa zinaonekana kuwa KASHESHE kinyume na mimi nilivyofikiria....!ndoa hizi zina mlolongo wa kuumizana,unseriousnesses,breakups and all that!asiilimia 60 ya LOVE MARRIAGES HAZIKO SUCCESSFUL!
my point:do we need LOVE MARRIAGES ANY FURTHER?...!of these types za ndoa,which is which?...
(honeymoon inaendelea tena ina mafanikio makubwa😀)
hahahahahahahahaha!😀😀😀
Da! binamu, talking of kibluray, leo umeamua aisee! yani umenikumbusha enzi zile za kuandika essay za history au literature, compare and contrast! ningekuwa mwalimu hapa ningekupa excellent!
naona hatarudia tena lol!senks Carmel, kanchokoza geoff hapa, halafu tena anataka summary ya summary sasa sijui nimsaidieje...
hehehe!sasa kuzisikia tu unaona ishu?Mimi naona LOVE MARRIAGES, ni nzuri kama hawa wawili watajuana tabia mapema ili kujua jinsi ya kuzikubali weakness za mwenzake. Mimi naona kinachotokea ni kila mtu kuact kuwa ni perfect, wanapofika katika ndoa true tabia zinajitokeza na wanashindwa kuzikabili. Kama kuna ndugu yangu ni mlevi ile mbaya lakini anamficha girlfriend wake,kwa sababu hapendi mtu anayekunywa sana,wanaoana May, sasa wakishaingia ndani ya nyumba jamaa lazima atashindwa kuficha, je wifi yangu akishindwa kumvumilia si ndoa inaishaa. Family Marriages wazee walikuwa wanazijua tabia za binti na ukoo mzima, ndio maana zilikuwa zinadumu although wanawake walikuwa ma victim sana kwa kuozwa hata kwa kibabu mweeee sizitaki kuzisikia hizo ndoa mimi.
Mimi naona LOVE MARRIAGES, ni nzuri kama hawa wawili watajuana tabia mapema ili kujua jinsi ya kuzikubali weakness za mwenzake. Mimi naona kinachotokea ni kila mtu kuact kuwa ni perfect, wanapofika katika ndoa true tabia zinajitokeza na wanashindwa kuzikabili. Kama kuna ndugu yangu ni mlevi ile mbaya lakini anamficha girlfriend wake,kwa sababu hapendi mtu anayekunywa sana,wanaoana May, sasa wakishaingia ndani ya nyumba jamaa lazima atashindwa kuficha, je wifi yangu akishindwa kumvumilia si ndoa inaishaa. Family Marriages wazee walikuwa wanazijua tabia za binti na ukoo mzima, ndio maana zilikuwa zinadumu although wanawake walikuwa ma victim sana kwa kuozwa hata kwa kibabu mweeee sizitaki kuzisikia hizo ndoa mimi.
hata huko kwenye entaprinuaship naona kama huwa mnatamani muweke hayo makalkuleshenSi wengine tumezoea makalkuleshani kiblurey mpaka kwenye mitihani ya Entrepeneurship
si ndo hapo!Si wengine tumezoea makalkuleshani kiblurey mpaka kwenye mitihani ya Entrepeneurship
Mimi naona LOVE MARRIAGES, ni nzuri kama hawa wawili watajuana tabia mapema ili kujua jinsi ya kuzikubali weakness za mwenzake. Mimi naona kinachotokea ni kila mtu kuact kuwa ni perfect, wanapofika katika ndoa true tabia zinajitokeza na wanashindwa kuzikabili. Kama kuna ndugu yangu ni mlevi ile mbaya lakini anamficha girlfriend wake,kwa sababu hapendi mtu anayekunywa sana,wanaoana May, sasa wakishaingia ndani ya nyumba jamaa lazima atashindwa kuficha, je wifi yangu akishindwa kumvumilia si ndoa inaishaa. Family Marriages wazee walikuwa wanazijua tabia za binti na ukoo mzima, ndio maana zilikuwa zinadumu although wanawake walikuwa ma victim sana kwa kuozwa hata kwa kibabu mweeee sizitaki kuzisikia hizo ndoa mimi.