Family Marriages VS Love Marriages: Which is which?!

Family Marriages VS Love Marriages: Which is which?!

hata huko kwenye entaprinuaship naona kama huwa mnatamani muweke hayo makalkuleshen

Nakwambia we acha tu! Wakikaa vibaya watahini wanakumbana na ma prinsipo ya kina archimedes na mahypothesisi ya kufa mtu!
 
si ndo hapo!
kaiza amemwaga ungwine utadhani tunajibu swali la DI-ESI mwaka wa kwanza huko.kuna maswali yanasema DISCUSS,SUBSTANTIATE.

mimi esai za di-esi nilikuwa naziandika kwa namba na kupigia mistari.(sijui hata hako ka dii nilikapataje😀)

Acha longolongo kagonge senks kwenye the useful post bana😀😀
 
Nakwambia we acha tu! Wakikaa vibaya watahini wanakumbana na ma prinsipo ya kina archimedes na mahypothesisi ya kufa mtu!
watauliza swali la mfecane war halafu x-pin ataanza kuderaivu kwa kutumia MACLAURIN SERIES
 
I am Still thinking aloud in my honeymoon!...

Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...!

Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS:
1-FAMILY MARRIAGES-hizi ni kwamba kijana akishafikia umri wa kuoa anawasilisha hitaji lake kwa wazazi.ni jukumu la wazazi kuangalia ni familia gani ina binti mzuri wa tabia,na pia kuangalia historical backgrounds za hiyo familia.from there makubaliano yote hufanywa na wazazi wa pande mbili.Ndoa hizi ndizo asili NA MILA ZETU WAAFRIKA.ndoa hizi bado baadhi ya makabila wanazienzi na kuzidumisha.wakati wa ndoa hizi hakukuwa na mambo ya break-ups..!hizi ndoa siwezi kusema zilikuwa na mapenzi kwa maana ya mapenzi...!hizi ndoa zilikuwa na kitu kingine MORE THAN/APART FROM LOVE!...hizi ndoa wenzetu wahindi bado wanazienzi na kuzidumisha...!asilimia 90 ya hizi family marriages ni SUCCESSFUL!(kwa research yangu)

2-LOVE MARRIAGES-hizi ni western types za marriages.ni kwamba couples wanakutana/fahamiana mazingira yoyote yale,jf,kaunta,bar,shuleni,kazini n.k.huko wanaanza na MAPENZI,KUFANYA MAPENZI n.k.baada ya hapo wanaangalia kama wanaweza kuishi pamoja then wanafanya mikataba ya hiari....!hizi ndoa zinaonekana kuwa KASHESHE kinyume na mimi nilivyofikiria....!ndoa hizi zina mlolongo wa kuumizana,unseriousnesses,breakups and all that!asiilimia 60 ya LOVE MARRIAGES HAZIKO SUCCESSFUL!

my point:do we need LOVE MARRIAGES ANY FURTHER?...!of these types za ndoa,which is which?...

(honeymoon inaendelea tena ina mafanikio makubwa😀)
There you are!

Kwa ufahamu wangu hadi asilimia 80 ni kweli; naunga mkono hoja!!!
 
There you are!

Kwa ufahamu wangu hadi asilimia 80 ni kweli; naunga mkono hoja!!!
hehehehe!
twende kazi mkuu!utasababisha kaizer aikimbie laptop yake
 
si ndo hapo!
kaiza amemwaga ungwine utadhani tunajibu swali la DI-ESI mwaka wa kwanza huko.kuna maswali yanasema DISCUSS,SUBSTANTIATE.

mimi esai za di-esi nilikuwa naziandika kwa namba na kupigia mistari.(sijui hata hako ka dii nilikapataje😀)

Kumbe nawe ni mtaalamu wa DS? D si kitu cha kuchezea kwenye ile kitu! Disccuss, distinguish, explain, substantiate........

Wengine tunapenda tukutane na maneno kama Prove that...., show that......, calculate....... LOL! Hapo mzuka unapanda kiaina!
 
watauliza swali la mfecane war halafu x-pin ataanza kuderaivu kwa kutumia MACLAURIN SERIES

Au unadiferenshieti with respekti to..... as something approaches........Hamna maneno miiingi!
 
Kumbe nawe ni mtaalamu wa DS? D si kitu cha kuchezea kwenye ile kitu! Disccuss, distinguish, explain, substantiate........

Wengine tunapenda tukutane na maneno kama Prove that...., show that......, calculate....... LOL! Hapo mzuka unapanda kiaina!

hehehehe!mimi sio mtaalamu!mtaalamu huyu hapa:.....
Marriage as aninstitution has been subject to changes in temporal and spatial dimensions-in any given society. We cannot blame ourselves for this....as it is just a natural process of change. we can modify the changes, but we cannot stop them.

As for our society, we are praising the traditional/arranged marriages of the past (of which some few tribes still uphold them) while, at the same time, playing down the un-equal sharing of the marriages' costs and benefits. While, in many occasions the MAN assumes a dominant role, the WOMAN is usually the subject of prejudice, hard work and little respect from the MAN's family-given the hefty dowry paid.

On the contrary, 'modern' marriages would involve a voluntary unione of a man and woman to live as husban and wife with minimum external influence, be if from parents or friends/relatives.

There is no evidence that if the past society with the traditional marriages was expesoed to the current level of development and technology, the same wouldn't have occured.(i.e the alleged cheating and mistrust in modern marriages)

Therefore, I would say that while we are craving for the past marriages, it is important that we understand the changes that have occurred over time and the consequences of the changes. More importantly we should embrace the basic ingredients of any relationship: LOVE, TRUST, and RESPECT. No marriage would fall if these three are present.
.....agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrh!nasikia usingizi.MAIMUNA NAOMBA KAHAWA TAFADHALI!NIPO NA GAZETI LA MZALENDO
 
hehehehe!mimi sio mtaalamu!mtaalamu huyu hapa:.....

.....agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrh!nasikia usingizi.MAIMUNA NAOMBA KAHAWA TAFADHALI!NIPO NA GAZETI LA MZALENDO

haupo peke yako. WatZ wengi tuna ugonjwa wa kutopenda kusoma,,sembuse kuelewa...so upo kweny norma distribution mpwa😀😀
 
haupo peke yako. WatZ wengi tuna ugonjwa wa kutopenda kusoma,,sembuse kuelewa...so upo kweny norma distribution mpwa😀😀
Hehehehe!mimi nimeona hizo CAPS TU!love,respect na trust!
halafu mwenzio kingredha hakipandi.hapo ndipo uliponipotezea kabisaaaaa
 
I am Still thinking aloud in my honeymoon!...

Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...!

Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS:
1-FAMILY MARRIAGES-hizi ni kwamba kijana akishafikia umri wa kuoa anawasilisha hitaji lake kwa wazazi.ni jukumu la wazazi kuangalia ni familia gani ina binti mzuri wa tabia,na pia kuangalia historical backgrounds za hiyo familia.from there makubaliano yote hufanywa na wazazi wa pande mbili.Ndoa hizi ndizo asili NA MILA ZETU WAAFRIKA.ndoa hizi bado baadhi ya makabila wanazienzi na kuzidumisha.wakati wa ndoa hizi hakukuwa na mambo ya break-ups..!hizi ndoa siwezi kusema zilikuwa na mapenzi kwa maana ya mapenzi...!hizi ndoa zilikuwa na kitu kingine MORE THAN/APART FROM LOVE!...hizi ndoa wenzetu wahindi bado wanazienzi na kuzidumisha...!asilimia 90 ya hizi family marriages ni SUCCESSFUL!(kwa research yangu)

2-LOVE MARRIAGES-hizi ni western types za marriages.ni kwamba couples wanakutana/fahamiana mazingira yoyote yale,jf,kaunta,bar,shuleni,kazini n.k.huko wanaanza na MAPENZI,KUFANYA MAPENZI n.k.baada ya hapo wanaangalia kama wanaweza kuishi pamoja then wanafanya mikataba ya hiari....!hizi ndoa zinaonekana kuwa KASHESHE kinyume na mimi nilivyofikiria....!ndoa hizi zina mlolongo wa kuumizana,unseriousnesses,breakups and all that!asiilimia 60 ya LOVE MARRIAGES HAZIKO SUCCESSFUL!

my point:do we need LOVE MARRIAGES ANY FURTHER?...!of these types za ndoa,which is which?...

(honeymoon inaendelea tena ina mafanikio makubwa😀)

1. Arranged/Famili Marriages - Enzi zile msichana alikuwa akionekana amesimama na mvulana barabarani ilikuwa ni ishara mbaya sana kwa familia yake na alikuwa anachukuliwa kama malaya, unless wakutane kanisani kwenye kwaya, kwenye misiba au wakitoroka kwenda kwenye ngoma na miziki ya usiku... Kila binti alikuwa anajitahidi kujitunza ili apate mume bora na kumbuka kwamba wanaume walikuwa wanarudi kutoka mjini kwenda kuoa vijijini. Tatizo lilikuwa ni tabia, huyo unayeoana naye mnakuwa hamjuani tabia, kwa hiyo ilikuwa inakulazimu kuishi naye tu kwa sababu ya heshima ya familia zote mbili na jamii inayowazunguka. Kumbuka kuacha mwanamke au mwanamke kuachika lilikuwa ni jambo la ajabu sana, kama mwanaume aliona mwanamke hafai au hamridhishi basi ataoa mke wa pili lakini hamwachi yule wa kwanza.

2. Love Marriages ni kwamba mnakutana sehemu mnazojua wenyewe, mnapendana... inawezekana mmoja asimpende mwingine lakini akaona ni Potential Husband/Wifey Material akaamua kulifanyia kazi. Kama ni mwanamke atajifunza kupenda au kumkubali huyo bwana ili aweze kuolewa naye, baada ya ndoa anajua mengine yatajiseti huko mbele ya safari lakini kashaondoa mkosi. Kama ni mwanaume ata-pretend kuwa anampenda sana akijua fika kuwa ataweza kum-dominate na kumtengeneza to suite his requirements. Ili hali kila mtu anaingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake, lakini mapenzi ni asilimia fulani tu katika hayo malengo. Sasa hapa shida inakuwa kwamba wote wawili walifanya vile for a purpose, lakini hata kama walifanya kwa mapenzi basi mapenzi pia huchuja, kila mmoja anajiona bora kuliko mwenzake, hakuna wa kuchukua initiative kurekebisha hali hiyo, mwisho wa siku.... Mboga moto, Ugali moto...

My Preference: NONE🙁
 
Back
Top Bottom