Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
π
Famonga ashinda kura za maoni jimbo la Temeke.
Fadhil Mohammed Famonga mshindi kura za maoni kupitia CCM jimbo la Temeke β Famonga ambaye amewahi kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Temeke.
#AsanteniWajumbe