Kujiunga zamani haimaanishi ni famous. Kwa kweli itabidi ajitambulishe makapuku tumjueTeh kwa mwaka aliojiunga humu yeye ndiye alipaswa akukaribishe
AseehMkuu joverest unaitwa huku
Teh teh hayaKujiunga zamani haimaanishi ni famous. Kwa kweli itabidi ajitambulishe makapuku tumjue
Id yako hilojina limenikubusha bi dada anaitwa masai dadaNshafika mkuu. Nikae wapi?
Kuna gest ipo hapo stendi kama unaifata Njombe Seco inaitwa Mduma Gest njoo nikupe dawaNyie watu maarufu samahani zenu, kwa yeyote aliyeko njombe nahitaji DAWA, napata wapi SADARI wa haraka maana NDOTO ninazoota usiku wa Leo sio kabsa, ndo nimelala njombe kwa Mara ya kwanza.. Wakinga na Wabena Shida nini kuniotesha haya Mandoto ya kingese aisee?
Shukran sana mkuu, Dk sifuri.. Nikija nikukute hapo nje basi... Mimi nitauliza kwa jina la CASTR WA JF fazaaa.Kuna gest ipo hapo stendi kama unaifata Njombe Seco inaitwa Mduma Gest njoo nikupe dawa
Mi napita tu
Na Mimi piaHata mimi....
Mtafue mtu anaitwa Mshana au the bold au miss chagga na wengine ...soma thread zao na umri wakionao humu jf ..utajua ni nn maana ya ufamousDuh! Nilikuwa silitambui hili...kumbe kuna watu maarufu humu,Sifa zao ni zipi mkuu?
Hi coco... ila sio siri cocochanel lzm uwe maarufu maana kila kona ya ulimwengu wapi jinalo lisipojulikanaNa mimi nimo? π
ππππ
Hi coco... ila sio siri cocochanel lzm uwe maarufu maana kila kona ya ulimwengu wapi jinalo lisipojulikana