"Famous people" wa JamiiForums tukutane hapa

Duh! Nilikuwa silitambui hili...kumbe kuna watu maarufu humu,Sifa zao ni zipi mkuu?
 
Attachments

  • FB_IMG_1496741195302.jpg
    FB_IMG_1496741195302.jpg
    46.1 KB · Views: 42
Nyie watu maarufu samahani zenu, kwa yeyote aliyeko njombe nahitaji DAWA, napata wapi SADARI wa haraka maana NDOTO ninazoota usiku wa Leo sio kabsa, ndo nimelala njombe kwa Mara ya kwanza.. Wakinga na Wabena Shida nini kuniotesha haya Mandoto ya kingese aisee?
 
Kuna gest ipo hapo stendi kama unaifata Njombe Seco inaitwa Mduma Gest njoo nikupe dawa
 
Shukran sana mkuu, Dk sifuri.. Nikija nikukute hapo nje basi... Mimi nitauliza kwa jina la CASTR WA JF fazaaa.
 
wwe siyo mgeni nakukumbuka 2011 jukwaa fulani hivi tulibishana sana ngoja niutafute uzi
 
Back
Top Bottom