Famous Quotes by Joseph Ole Lenku

Famous Quotes by Joseph Ole Lenku

Wakenya si ndo huwa tunawakubali katika kingereza,
Kumbe hamna chohote.
Tena huyo ni officer kabisa
 
Wakenya si ndo huwa tunawakubali katika kingereza,
Kumbe hamna chohote.
Tena huyo ni officer kabisa

Kumbe na wewe umeona eeh?

Mimi wala sijawahi kuwakubali. Kiingereza ni lugha ngumu kuimudu.

Kama waongeaji wa asili wenyewe hukosea sembuse sisi wengine?
 
ahahahhaha ''We're on the final assault. We want to confirm whether the attackers died
or they are pretending."
 
Huyo Jamaa ni aibu kwetu! Hatumtaki kabisa kwani alitoka kufanya kazi ya hoteli wakumpa kazi hii bila ujuzi wowote
 
Embu ww Rekbisha hiyo Paragraph , kwa kuiandika upya ..

Rekebisha Makosa na sisi Tugundue .

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ni ngumu kuamini kama alokuwa anaongea all these contradictions was a Minister!!!!!!!!

Embu ww Rekbisha hiyo Paragraph , kwa kuiandika upya na sisi tugundue
Kwa kukusaidia angalia mgongano wa maelezo yalotolewa (contradictions)

Mfano:
"All the terrorists were men except about three women!"

Yaani "magaidi WOTE walikuwa wanaume ila wanawake walikuwa watatu.................. Kama ni WOTE walikuwa waume, yanini kusema kuwa wanawake walikuwapo?

"We killed all the terrorists, even though, we have not seen their bodies."
Yaani: Tumewaua magaidi wote ingawa hatujaona miili yao............ umejuaje kuwa wameuwawa wote wakati hujui idadi yao na hata miili yao hujaiona?
 
Nadhani issue kubwa hapo sio kujua kiingereza ni uongo uongo wa wanasiasa tuu ndo mana anajichanganya!
 

1380497_10151882172656597_1727789489_n.jpg



1391819_10153409390670026_1490831542_n.jpg
 
Hahahaaaaa when they wanted to pay the tellers were not there... OMG.!!! Why???
 
Nadhani issue kubwa hapo sio kujua kiingereza ni uongo uongo wa wanasiasa tuu ndo mana anajichanganya!
this guy is holding English by the neck.
 
Back
Top Bottom