Fanani wa Hard Blasters apelekwa Sober House Bagamoyo

Fanani wa Hard Blasters apelekwa Sober House Bagamoyo

Ajabu kubwa ni kuwa baadhi ya wasanii wa muziki ndio wabebaji wakubwa wa huu unga kuingiza nchi na ni washirika wa wafanya biashara wa haya madawa, baada ya biashara kufanikiwa kuingia inatumiwa na hao hao wanamuziki na kuwaharibia kabisa maisha, ingekuwa poa wasanii wakaanzisha project yao ya kupiga madawa ya kulevya vita kwa kumaanisha na wakisikia kuna mmoja wao anahusika na hii biashara wampe onyo ikiwezekana wawape taarifa polisi ili muhusika achunguzwe, imekuwa rahisi wao kutumika kwa kuwa ndio wenye uwezo wa kufanya shoo za nje ya nchi mara nyingi na huko ndio hubebeshwa haya maunga.
 
Wengi wamepotea mazima kwenye gemu saabu ya hii kitu.

Huyu jamaa alianza na Profesor Jay, angalia mwenzake leo alipofika halafu linganisha na huyu.

Fanani alianza na profesa jay kivipi??..yaani mwalimu ameanza na mwanafunzi??..unamjua fanani wewe??..nyie ndio mnawaitaga kina rayc na snura wanamuziki wakongwe
 
!
!
Naniiii eeeh fanani wa uhakika...katika fani anasifika....akishika mic!....Ni Patashika Patashika Yooo!,.....Naniii eeeeh fanani wa uhakika

Niamini Seeeemaaa, nataka uwe na mimi maaaama watu wenye majungu wanaleta fitina uachanee na mimi yeyeyeee
 
Clouds FM ni jipu lisipotumbuliwa litaleta madhara makubwa daz baba mbona hawampeleki na dullayo nae ndo anakoelekea stress za music zinawaumiza Sana hawa wasanii
Hebu fafanua kidogo kwa undani hawa Clouds wanahusika vipi na hii mada
 
huyo dada yuko poa had raha mahips yake makubwa
Shindwa katika jina la Yesu, shindwa pepo la ngono, pepo la tamaa ya uzinzi, nakuamuru kwa jina la Yesu tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Profesa J kamjali vipi Fanani?

Wewe ulitaka Jay awe anatembea nae mgongoni kila anapokwenda,je unafahamu kuwa chanzo cha HBC Crew kufa ni uteja wa Fanani,pia unafahamu kuwa kuna kipindi nadhani 2005 Jay alimshughulikia Fanani mpaka akawa na hali nzuri mpaka ikafikia hatua akatoa Solo Album na Jay ndio aliemlipia kurekodi hiyo Album?
 
Wewe ulitaka Jay awe anatembea nae mgongoni kila anapokwenda,je unafahamu kuwa chanzo cha HBC Crew kufa ni uteja wa Fanani,pia unafahamu kuwa kuna kipindi nadhani 2005 Jay alimshughulikia Fanani mpaka akawa na hali nzuri mpaka ikafikia hatua akatoa Solo Album na Jay ndio aliemlipia kurekodi hiyo Album?

Umekurupuka Mkuu.

Huyo niliyem-quote alisema Proj Jay kamsaidia sana Fanani so nilikuwa nauliza aina ya huo msaada alioutoa Jay.

Kama umenielewa.
 
Wasanii na wengine ila si unajua tena mambo ya Kiki? Hawa kina kalapina wanajijenga kupitia matatizo ya wenzao
Sijui kama wangewapeleka kimya kimya bila matangazo ingekuwaje
Wasipofanya kuwatangaza hawatakuwa na fanbase kubwa.
 
Back
Top Bottom