Wengi wamepotea mazima kwenye gemu saabu ya hii kitu.
Huyu jamaa alianza na Profesor Jay, angalia mwenzake leo alipofika halafu linganisha na huyu.
Profesa J kamjali vipi Fanani?
Terry fanani ndo yupi sasa hapo?
Hebu fafanua kidogo kwa undani hawa Clouds wanahusika vipi na hii madaClouds FM ni jipu lisipotumbuliwa litaleta madhara makubwa daz baba mbona hawampeleki na dullayo nae ndo anakoelekea stress za music zinawaumiza Sana hawa wasanii
Shindwa katika jina la Yesu, shindwa pepo la ngono, pepo la tamaa ya uzinzi, nakuamuru kwa jina la Yesu tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahuyo dada yuko poa had raha mahips yake makubwa
Nasubiri aje akujibu!!Hebu fafanua kidogo kwa undani hawa Clouds wanahusika vipi na hii mada
Ila kama wewe Jambazi umeelewa sio mbaya ukanishirikisha uzoefu wako maana mie sijapata jibu kabisa na sioni link ya post na hiyo mediaNasubiri aje akujibu!!
Profesa J kamjali vipi Fanani?
Wewe ulitaka Jay awe anatembea nae mgongoni kila anapokwenda,je unafahamu kuwa chanzo cha HBC Crew kufa ni uteja wa Fanani,pia unafahamu kuwa kuna kipindi nadhani 2005 Jay alimshughulikia Fanani mpaka akawa na hali nzuri mpaka ikafikia hatua akatoa Solo Album na Jay ndio aliemlipia kurekodi hiyo Album?
Kwa nini wasingekuwa wanakunywa safari au bia zingine tu,mbona zina stimu safi tuProf Ludigo nae kitambo Sana anakula unga...duu pole Yao.
Wasanii na wengine ila si unajua tena mambo ya Kiki? Hawa kina kalapina wanajijenga kupitia matatizo ya wenzaoWanaopelekwa Sober ni wasanii pekee ama na makanjanja wengine wanapelekwa?
Wasipofanya kuwatangaza hawatakuwa na fanbase kubwa.Wasanii na wengine ila si unajua tena mambo ya Kiki? Hawa kina kalapina wanajijenga kupitia matatizo ya wenzao
Sijui kama wangewapeleka kimya kimya bila matangazo ingekuwaje
Prof Ludigo yuko wapi kwa sasa??Hawa wote mateja wa mitaa ya KigogoProf Ludigo nae kitambo Sana anakula unga...duu pole Yao.