Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Serikali ya Ujerumani inaunga mkono serikali ya Israeli kwa yale yote ambayo Netanyahu anawafanyia waarabu wa Palestina, Lebanon na kwingineko. Serikali ya Ujerumani inaipatia serikali ya Israeli misaada ya silaha na pesa kutekeleza hiyo genocide ya wapalestina.
Huo ndiyo msimamo wa serikali ya Ujerumani. Baadhi ya wananchi wa Ujerumani hawakubaliani na msimamo huo wa serikali yao. Yaani wao wanawaunga mkono wapalestina. They are pro-palestinians. Tazama sasa hii video clip jinsi polisi wao walivyo yashughulikia maandamano yao ya amani, ya kidemokrasia, ya uhuru wa kutoa mawazo yao (freedoms of expression).
Kila mmoja wetu anajua namna polisi wetu wanavyo shughulikia maandamano ya aina hiyo, hivyo hakuna haja ya kuweka video clip yao hapa. Polisi wa kwetu huwa wanaandamana pamoja na waandamanaji. Yaani polisi wana join part kwenye maandamano hayo. Kwa kuwa baadhi ya polisi hao wengi wao huwa wamevaa nguo za kawaida, huwezi kujua nani ni mwandamanaji na nani ni polisi kwenye maandamano hayo until mtu avunje sheria eg akwapue mali ya mtu mwingine. Sometimes polisi wetu huamua kuandamana peke yao na kuwazuia wale wengine ku join in.
Baada ya kuitazama hii video, compare and contrast (fananisha) ukionesha ni polisi wepi (wa Ujerumani au wa Tanzania)ambao wako bora zaidi kushughulikia maandamano ya aina hiyo. Toa sababu na kwa vigezo ulivyotumia kuwalinganisha. gani. Toa majibu yako kwa maandishi yasiyozidi maneno 100. Utasahihishwa na kupewa maksi (score) na jopo la watalaamu waliomo humu Jf. Highest score is 100%.