habari wadau.mimi nna tatizo la kutokea vijipu kama vimejaa maji pembeni ya kucha.vikitumbuka vinauma na vinatengeneza kidonda. vinaambukizana kidole baada ya kidole.. nilienda hosp wakaniambia ni fangas ila tatizo ninanyonyesha bado na dawa waliniambia hatakiwi mama anayenyonyesha. zinanitesa sana zinaharibu kabisa shepu ya vidole.nimepewa dawa ya kupaka tu ambayo kwakweli haisaidii.naomba mwenye kufahamu njia mbadala ambayo haitaingiliana na unyonyeshaji anisaidie.