Fangasi ya Ubongo

Fangasi ya Ubongo

I see..................!
Asante kwa JF Doctors! napata maarifa mengi!!!
 
Twambie kitu gani umeng'amua hapa

....ni kuhusu fangasi, jelemsi (germs) na bakteria kichwani kuhusika na upungufu wa kinga mwilini!!!!
hujambo lakini?
 
Alikua na HIV huyo bidada,
nina ndugu yangu ambaye mwanzoni alianza kama kachanganyikiwa,baadae akaambiwa kwamba anaumwa cryptococaccal Meningitis,sikumuelewa doctor,mpaka nilipokwenda ku'google.....na baadae vipimo vilivyotoka,ni kweli alikua ameathirika......
 
Hili swala la vvu hupelekea binadamu kupata magonjwa ya kila aina kutokana na kudhoofisha kinga za mwili kwa kiasi kikubwa, na hua inakua rahisi hata kwa mgonjwa kupata magonjwa hayo
 
ki ukweli nimejifunza vitu ambavyo nilikuwa sivijui.kuna dada mmoja siku moja kabla hajafariki,mwenyewe aliniambia kuwa ameathirika,aliumwa na kichwa sana,ambacho dada zozote zole hazikukubali.alikuwa anaumwa na magonjwa mengine,ila siku hiyo,kichwa kilimuuma sana,siku ya 2 yake alifariki
 
Back
Top Bottom