Fani gani itakuwa na soko 2o21?

Fani gani itakuwa na soko 2o21?

Kuna shortage kubwa sana ya Forensic Accountants in Tanzania.This is a sub aspect in accounting proffesion which because of a lot of emmbezzlement in Tanzania many international projects and big offices needs accountants specialized in this.Since our government is remotely controlled by these international donors,I am seing this as a requirement in government offices as well. It is unfortunate however that there is no college or university in Tanzania that provide a specific degree in forensic accounting.

Tsidekenu we umesoma hiyo forensic accounting?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni kijana wa kidato cha pili. Ninayamudu karibu masomo yote. Mwaka kesho nitalazimika kuyaacha masomo ya biashara au ya sayansi. Ninategemea kuhitimu chuo kikuu mwaka 2021, ninaomba ushauri kutoka kwa waona mbali, nifani gani itakuwa na soko mwaka 2021?

halafu nyie watoto wadogo mnatafuta nn humu jamii forum? ilo swali kamuulize Head master wako atakushauri vizuri pia soma kitu ambacho kitakusaidia wewe na taifa kwa ujumla sio marketability ya soko la ajira na pia fikiria kujiajiri mwenyewe sio kutegemea soko la ajira linasemaje
 
Funzadume mbona unam-terify huyu bw mkubwa. mi nampongeza sana kwa kuamua kuja huku kwa ma-great thinkers wamshauri, huwezi jua what if mwl mkuu wake ni harsh na sio friendly kwa hivyo haingiliki!!!!!!!?????? Ok, anyways, bw Tyegelo nakushauri usome masomo ya sayansi hasa PCB ili uje ufanye medicine. field ya afya ni moja ya field ambazo zina uhakika wa maslahi 99%. PIGA BOOK MDOGO WANGU, USILEGEZE KABISA.
 
Wamunzengo, huyu dogo hapa si mahala pake kiukweli. Badala ya kushinda Library akimeza madude anakuja shinda JF? Kweli?. Aaaaaah! Kila kitu kinawakati wake, hawa watoto wa kikwete hawa?
 
Wamunzengo, huyu dogo hapa si mahala pake kiukweli. Badala ya kushinda Library akimeza madude anakuja shinda JF? Kweli?. Aaaaaah! Kila kitu kinawakati wake, hawa watoto wa kikwete hawa?

Angekuwa Chitchat au MMU sawa, lkn amekuja huku tena na swali la maana, nafikiri yuko right. Ila duh, imenitisha kijana wa form two kuwepo humu; ndio maana tunatakiwa tuwe tunapost vitu vya maana na si matusi!

Imagine mnajibizana na son wako unknownly.
 
Ushauri wangu chukua kilimo kwani mahekari yapo na majembe bei si mbaya, ajira 2020 zitakuwa adimu sana afadhali ya sasa kuna 2% ya ajira 2021 ajira itakuwa chini ya 1%, kutokana na viongozi wetu kutojua wajibu wao, au nawe kama mtoto wa kiongozi basi usikonde nafasi zenu zipo
 
hongera sana dogo, nakushauri uchukue science, then PCM uki-aim chuo kuja kusoma mambo ya artificial intelligence and embedded technology, kwa uchache sana elimu hii inatolewa mavyuoni kwa sasa, makampuni mengi bado yameishikilia teknolojia bila kuiachia, by then market yake itakuwa kubwa sana kwenye developing countries.
 
Back
Top Bottom