Fani ya Data Science

Fani ya Data Science

Usimdanganye aende kukaririshwa madesa,sua hakuna elimu pale,aulize ITs wa pale wanasomaje ndio afanye uamuzi sahihi.

Yaani mtu aache udsm au udom kwenye hizo IT aende sua jamani,msipoteze watu malengo.
Kaomba kujua kajibiwa so shida nini? Kama ni kilaza atajua mwenyewe hapa ni great thinkers kila kitu kipo jF
 
Habari, wadau napenda kujua kuhisi hii fani mpya ya data Science kwa upande wetu huku Tanzania naweza kuipata chuo gani nijue.
  • Chuo kinachotoa fani hiyo
  • Level (cheti shahada)
  • Ada
  • Vigezo vya fani husika
Mbeya university of science and technology (MUST) hio kozi ipo kwa watu wa degree tu!
 
Back
Top Bottom