LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Fani ya sheria inaonekana haina deal tena.. Zamani wanasheria walikuwa wanapiga sana hela, but nowadays mambo yamekuwa vice versa, fani ya sheria haiheshimiki tena. Jamaa hawana ishu za kufanya, wamebaki kuwa MADALALI!!! Inasikitisha sana...Graduates wengine wameona sio ishu, wameamua kubadili fani, wanafanya mambo mengine....
SULUHISHO :
Unganeni, nendeni mahakamani mkaichallenge sheria iliyo anzisha zimwi liitwalo " LAW SCHOOL ". Iombeni mahakama itamke kuwa " Kusoma Law school si lazima, iwe lazima kwa wanasheria wanao taka kuwa mawakili tu " Vinginevyo mtaendelea kupata tabu sana...
NINGEKUWA MWANASHERIA NINGEFANYA NINI ?
Ningekuwa mwanasheria nisinge hangaika kusoma law school, ninge enda kujifunza uganga, then nikafungua kilinge cha uganga na kuwa MGANGA WA KESI... Wateja wakija nawapa ushauri wa kisheria ( Legal Advie ) plus masharti mawili matatu ya kumtengeneza kisaikolojia..hiyo inekuwa bora zaidi.