Fani ya Sheria inaonekana haina mashiko tena

Fani ya Sheria inaonekana haina mashiko tena

Bila sheria mambo hayaendi kila kitu kipo kwa mujibu wa sheria, sheria ndio kila kitu kila sehemu na kila idara lazima iwe na mwanasheria bila sheria hakuna amani kwani watu wangekuwa kama wanyama hivyo sheria ni muhimu sana tatizo labda wingi na ajira chache !! Serikali kisheria, kodi kisheria lolote unaloliona ni sheria imelifanya liwepo !!
 
huyu atakua amesoma degree ya law... katafuta kazi kakosa hivyo anaogopa kwenda law school
 
Back
Top Bottom