Fani zenye ajira kwa sasa, vijana someeni fani hizi

Mkuu hii Bachelor degree in umario and betting. Inabidi nipate hata short course niingie mzigoni. Hyo ya umarioo field nataka nikapige pale kwa Babra Gonzalenz yule CEO wa simba.
Hahahah hii fani inawaweka vijana kwenye right tiraki hapa mjini. Wanakula kunywa na kuvaa sababu hioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mchawi mundende na Gym
 
Unawapa kazi wenye hobby ya kusoma kusoma yasiyokuwa na maana!!!

Hayana maana wakati kuna watu wanapesa kwa kazi hizo kukuzidi haya wewe.

Hakuna tajiri mwenye hela hapa nchini au kiongozi mwenye pesa hapa nchini ambaye hafanyi moja ya nilichoandika hapo juu.

Kama ni mtu wa kuja huwezi elewa mambo ya mjini Mkuu.
 
Kuna **** yeye anapigia hela Iringa now. Ndio harakati zake kujifanya mganga hana lolote ila anapata wateja kichizi.
Watu watabisha lakini kwa kiasi kikubwa ameandika uhalisia πŸ˜‚πŸ˜‚
kuna jamaa yangu mmoja alimaliza bachelor yake fresh akaanza kuuza dawa za asili na promo kwenye social media ya kuongeza nguvu za kiume na maumbile. Mbona life lilikuwa linamuendea fresh utadhani kaajiriwa ofisi flani muhimu
 

Waache wabishe, kuna wanafunzi wanaelewa baada ya kutoka ndani ya chumba cha mtihani alafu paper imempiga
 
Daah hiyo namba 10 imenichekesha sana motivation speaker, big up sana mkuu kwa uandishi mzuri!
 
Eeh kinachotuponza hatuna uthubutu na zile aibu.
 

Duuh!Tumbo lake linauma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…