Thanks Lizzy for the thread...
Nadhani distant relation ina challenges zake na ina raha yake pia. niongelee challenges kwanza...
Watu wengi wameongelea time frame... Isiwe ndio permanent kwamba mmoja akae mgodini Mwanza, mwenzie yuko dar na wanaona ni sawa. Ni muhimu kuweka a dead line kwamba tunakaa hivi hadi tukifaanikiwa kutimiza X-Y-Z ambapo tutakua pamoja tena.
Communication is key. Jaribuni kuwasiliana as much as possible. Msiwe wepesi ku-jump to conclusion. Kuna mara utakua na two different stories, moja toka kwa source (alie na sababu zake kukupa ma information) na moja toka kwa mpenzi wako. Ikiwa mli communicate around/at wakati wa tukio inakua easier kumpa mume wako credit. Communicate often, share your schedules.
Say your love. Kila ukihisi you miss eachother, you love achother, when memories flo, share it. Kumbuka mngekua pamoja unge mbusu, au mnge-cuddle etc. 'when my arms can't hug you, I hug you with thoughts"... and the only way for him/her to feel the hug ni kuambiwa kua he is in your thoughts, so do it and hug him/her.
Kama inawezekana, visit eachother ili kila mmoja apate picha ya mazingira ya mwenzie na challenges involved. aone kwa nini mpenzi wake some times anakua irritated at night times, kwa nini saa zingine hawezi kucommunicate from X to Y time etc, kwa nini support ya rafiki/jirani fulani ni muhimu etc.
We mwenyewe bw faithful and trust your partner is too... innocent until proven guilty, and back him up wakikuletea habari za kijinga.