Sio kila mtu anaanguka kwenye vishawishi, some of us do have self control.Nyie msio nazo msitake kulazimisha kwamba wote tunafanana maana hivyo sivyo.Hata yale nisiyoweza mimi najua wapo watu wengine wanaweza. . . acheni kutushusha na sie tunaojua namna ya kupambana na vishawishi.Watu samtaimu munachanganya madawa bana, Ishu sio uaminifu ishu ni binadamu ameumbwa na udhaifu flani kimaumbile, acheni kudanganywa na mapenzi ya kwenye movie.
Kuna vitu kama temptation na situation, vishaiwishi na vidugushi all in all, mapenzi ya mbali haya work. This is the plain truth
Naziona Kongosho, asante kwa kuhonga. No wonder wanakuonea wivu kua Super Star wa JF... 🙂
Tuanze na kitu simple, umbali wa mwaka, but mnaonana kila baada ya miezi tatu...giv me a time frame ili tujadili kiuhalisia zaidi, unaongelea umbali kwa muda gani?
Babu kwani unaeagana nae asubuhi na kukutana jioni una uhakika gani nae?
@AirTanzania. . .never ni neno la ajabu.Ukiliendekeza huwezi fanikisha chochote maishani mwako.
Hapo tuko pamoja babu, sema ndio hivyo wakati mwingine inabidi mpambane hivyo hivyo. Au umwache ukiwa tayari kujuta ikiwa huyo wa karibu atakua matatizo tupu.Huwezi kuwa na hakika Lizzy, ila chance ya kudeal na paranoia katika relationship ya watu walio karibu si kubwa. Halafu kama kuna tatizo basi mnaongea macho kwa macho......It helps so much to deal with critical issues face to face...Zinapotokea halafu mkaanza kuziongelea kwenye simu inakuwa hatari sana!!
Lizzy, kama binadamu wameweza kwenda mwezini basi hakuna linaloshindikana kufanywa na binadamu ali mradi tu kuna discipline ya kutosha ambayo kwa miaka hii wengi hawanayo.
Siongelei vishawishi, naongelea human nature na vishawishi vikiwa mfano tu. Lets umevumilia kama unavyosema, unajua hayo mateso ya kuvumilia yanakuathiri kiasi gani?Sio kila mtu anaanguka kwenye vishawishi, some of us do have self control.Nyie msio nazo msitake kulazimisha kwamba wote tunafanana maana hivyo sivyo.Hata yale nisiyoweza mimi najua wapo watu wengine wanaweza. . . acheni kutushusha na sie tunaojua namna ya kupambana na vishawishi.
Tuanze na kitu simple, umbali wa mwaka, but mnaonana kila baada ya miezi tatu...
Sio kila mtu anaanguka kwenye vishawishi, some of us do have self control.Nyie msio nazo msitake kulazimisha kwamba wote tunafanana maana hivyo sivyo.Hata yale nisiyoweza mimi najua wapo watu wengine wanaweza. . . acheni kutushusha na sie tunaojua namna ya kupambana na vishawishi.
Dah! Mstaafu asante sana. The post of the milleniumReally Lizzy?
Are you sue you have been tested and emerged a winner????
Jibaba kwa mara ya kwanza leo hatukubaliani kabisa kwenye huu mjadala hamna cha sudden death wala nini..tatizo watu hawana uvumilivu like i said everything is possible ikiwa wote wawili mtakuwa determined...Tusidanganyane na kupeana moyo, all I can say
Mapenzi ya mbali ni disaster na kama sio sudden death basi itakuwa silence killer.
Labda tuwe tunaongelea umbali wa kuonana kila wiki, lakini usijidanganye kuwa mbali na mwenza wako kwa miaka.
Nimemaliza na ole wenu mubishe
Siongelei vishawishi, naongelea human nature na vishawishi vikiwa mfano tu. Lets umevumilia kama unavyosema, unajua hayo mateso ya kuvumilia yanakuathiri kiasi gani?
Huwezi kuwa na hakika Lizzy, ila chance ya kudeal na paranoia katika relationship ya watu walio karibu si kubwa. Halafu kama kuna tatizo basi mnaongea macho kwa macho......It helps so much to deal with critical issues face to face...Zinapotokea halafu mkaanza kuziongelea kwenye simu inakuwa hatari sana!!
Hahahahah. . .Really Lizzy?
Are you sue you have been tested and emerged a winner????
Jibaba kwa mara ya kwanza leo hatukubaliani kabisa kwenye huu mjadala hamna cha sudden death wala nini..tatizo watu hawana uvumilivu like i said everything is possible ikiwa wote wawili mtakuwa determined...
Jibaba kwa mara ya kwanza leo hatukubaliani kabisa kwenye huu mjadala hamna cha sudden death wala nini..tatizo watu hawana uvumilivu like i said everything is possible ikiwa wote wawili mtakuwa determined...
Babu you're invading my territory...lolReally Lizzy?
Are you sue you have been tested and emerged a winner????
Kloro tafadhali usilazimishe kila mtu awe kama wewe au sijui niseme nyie.hehehe hakuna determination against human nature kuna kujitahidi tu, hao unaowaona wote wanajitahidi tu lakini hawako determined. Umeliona suala la mstaafu DC alilomuuliza Lizzy?
Swali la DC linajibika and i can tell you i have been there ndio maana nasema everything is possible with determination najua mtakuja na facts mbali mbali lakini still my argument inabaki pale pale it is possible more than you could ever imagine..hehehe hakuna determination against human nature kuna kujitahidi tu, hao unaowaona wote wanajitahidi tu lakini hawako determined. Umeliona suala la mstaafu DC alilomuuliza Lizzy?