Long distance relationship ipo, ila kabla ya kushare uzoefu wangu katika mada hii, ningependa mtoa mada kuweka wazi anina ya relationship anayozungumzia.
Kwa mfano unaweza kuwa katika normal relationship, na moja kati yenu ikambidi kusafiri kikazi, kimasomo n.k. Ama wengi sasa hivi wamekuwa akianzisha mahusiano ya mbali pasi kukutana. Kama ni aina hii ya mahusiano basi ni lazima pande zote mbili ziwe na moyo wa chuma, na ni baada ya kuaminiana
kwa uzoefu wangu wanawake ndo wengi hawawezi
mume anafungwa jela mwaka mmoja tu..
akitoka anakuta 'nyumba ina harufu za watu wengine kabisa' lol
Labda niulize swali nyie mnaobisha kwamba haiwezekani naomba mnipe sababu moja ya msingi why do you think kwamba haiwezekani halafu msiweke visingizio vya umbali maana hapo hiyo bado sio sababu..
hehehe hakuna determination against human nature kuna kujitahidi tu, hao unaowaona wote wanajitahidi tu lakini hawako determined. Umeliona suala la mstaafu DC alilomuuliza Lizzy?Jibaba kwa mara ya kwanza leo hatukubaliani kabisa kwenye huu mjadala hamna cha sudden death wala nini..tatizo watu hawana uvumilivu like i said everything is possible ikiwa wote wawili mtakuwa determined...
Kloro tafadhali usilazimishe kila mtu awe kama wewe au sijui niseme nyie.
Kama nyie hamwezi, wengine tunaweza.
Na swali nimeshajibu NDIO. . .nini tena mnataka?
Ili tuende sambamba labda nikuulizeni haka kasuali.Swali la DC linajibika and i can tell you i have been there ndio maana nasema everything is possible with determination najua mtakuja na facts mbali mbali lakini still my argument inabaki pale pale it is possible more than you could ever imagine..
HUMAN NATURE wapi banaaa....wanajiendekeza hamna cha Human Nature wala Man Nature wala Woman Nature hivyo ni visingizio tu...tena kuna wengine hapa wanabisha kwamba haiwezekani wakati hata they have never been there..watu wanazungumzia ku-cheat nashangaa sana maana ku-cheat haina long distance relationship wala hata mkiwa mnaishi pamoja mtu akiamua kucheat he\she will cheat on you doesn't matter yuko mbali au unaishi naye nyumba moja..HUMAN NATURE. . . nimefanya tu kuwajibia.
Kisingizio chao ni kwamba huwezi kuvumilia kwa muda mrefu maana lazima vishawishi vitembeba/tubeba.
mmmh ya wanaume je? ukigeuka tu kidogo upo safarini hata gari haijaondoka kituoni watu washahamia loh?
Kwahiyo we unaongelea ambao hawaonani kwa miaka mingapi?Ili tuende sambamba labda nikuulizeni haka kasuali.
Hivi mapenzi ni mateso?
Na naomba muelewe kwamba mimi naongelea long range gap na sio watu kila miezi kazaa mnaonana halaf mukaita ni mapenzi ya umbali
HUMAN NATURE wapi banaaa....wanajiendekeza hamna cha Human Nature wala Man Nature wala Woman Nature hivyo ni visingizio tu...tena kuna wengine hapa wanabisha kwamba haiwezekani wakati hata they have never been there..watu wanazungumzia ku-cheat nashangaa sana maana ku-cheat haina long distance relationship wala hata mkiwa mnaishi pamoja mtu akiamua kucheat he\she will cheat on you doesn't matter yuko mbali au unaishi naye nyumba moja..
Kloro hiyo gap unayoisema wewe naielewa sana niliishakaa gap zaidi ya mwaka mmoja sasa ndio maana nasema kuna watU hawawezi na kuna watu wanaweza tukubaliane hivyo maana kama kwako inakuwa ngumu usifanye na kwa wenzako ionekane ngumu..Ili tuende sambamba labda nikuulizeni haka kasuali.
Hivi mapenzi ni mateso?
Na naomba muelewe kwamba mimi naongelea long range gap na sio watu kila miezi kazaa mnaonana halaf mukaita ni mapenzi ya umbali
Tuanze na kitu simple, umbali wa mwaka, but mnaonana kila baada ya miezi tatu...
Miezi mpaka miaka...
Ila kuwe na kuonana every now and then. Preferable a couple of times a year if possible.
Kwahiyo we unaongelea ambao hawaonani kwa miaka mingapi?
LDR ni LDR hata kama mnaonana kila mwezi.Kinachohesabika ni ule umbali mnaoishi from one another.
Alafu kwani kuwa mbali na mpenzi wako kwa muda ni mateso?Kama ni mateso mbona hata hao wanaolala na kuamka pamoja wanayo mengi tu?
Hawa wajanja kweli sasa hivi wamebadilisha hawachelewi kusema GAP la miaka mitano ndio long distance relationship..Kwahiyo we unaongelea ambao hawaonani kwa miaka mingapi?
LDR ni LDR hata kama mnaonana kila mwezi.Kinachohesabika ni ule umbali mnaoishi from one another.
Alafu kwani kuwa mbali na mpenzi wako kwa muda ni mateso?Kama ni mateso mbona hata hao wanaolala na
kuamka pamoja wanayo mengi tu?
Kuna watu wanaishi nyumba moja ila unyumba ni hadithi na mawasiliano kati yao ni zero.
Jibaba kwa mara ya kwanza leo hatukubaliani kabisa kwenye huu mjadala hamna cha sudden death wala nini..tatizo watu hawana uvumilivu like i said everything is possible ikiwa wote wawili mtakuwa determined...
Kloro hiyo gap unayoisema wewe naielewa sana niliishakaa gap zaidi ya mwaka mmoja sasa ndio maana nasema kuna watU hawawezi na kuna watu wanaweza tukubaliane hivyo maana kama kwako inakuwa ngumu usifanye na kwa wenzako ionekane ngumu..
Dah! mstaafu leo kama unagombea ubunge lazima uupate, yaani haya mapwenti balaaDogo,
Determination is not immortal!! It has to be time bound!!
Hahahahah. . .
. . . .and we'll always be.Yani bado sijaona huo ugumu mnaoongelea kabisa. Kama kuvumilia manyanyaso ndani ya ndoa/nyumba watu wanaweza iweje washindwe kuvumilia kuwa mbali mbali kwa muda mfupi?