Swali la DC linajibika and i can tell you i have been there ndio maana nasema everything is possible with determination najua mtakuja na facts mbali mbali lakini still my argument inabaki pale pale it is possible more than you could ever imagine..
Hiyo ya kudumu babu DC hata mimi siifurahii kwakweli.Inaondoa maana nzima ya ndoa au hata mahusiano. Mnaweza mkaanza hivyo ila eventually msogezane karibu.Hii ni rahisi sana...kwa sababu muda huo wa mwaka mmoja ni mfupi sana na kama mko busy...one can easily deal with it!!
Lizzy,
Kwanza ndoa ya kukaa pamoja muda wote inaweza kuboa sana. Binafsi napenda sana kupata nafasi ya kuwa mbali na Bibi DC walau mara moja kwa mwenzi. Kwa hiyo kuwa katika mazingira ambayo tunaweza kuonana hata baada ya miezi 3 siyo tatizo. Hata hivyo jambo kama hilo linatakiwa liwe la muda mfupi. Mfano shule ya miaka 2-3.
Siwezi kukubaliana na jambo la mtu kuwa na kazi ya kudumu Mwanza au Kigoma wakati mwenzake yuko Dar......Binafsi naona haifai kabisa!! Ndoa ni ndoa na uchumba ni uchumba...Jambo kama hilo linafaa kwa wachumba na siyo wanandoa!
Babu kwanini mnabisha kwamba haiwezekani i've a couple of people being successfull in long distance relationship...mimi argument yangu ni kuwa tusiweke misingi ya kusema kitu fulanI hakiwezekani ili hali inawezekana kuna different circumstances ambazo zipo kwa kila mtu at a certain point lazima tukubaliane kuwa inawezekanaDogo,
Determination is not immortal!! It has to be time bound!!
Miezi mitano bila kuonana ni mingi sana Kloro. . . hata kama utaweza kuvumilia hutokua na raha.Aaaargh hiyo distance ya kila miezi minne mnaonana hata mbuzi anaweza kuvumilia (though pia sio rahisi kiviiile labda ukuwe mwaminifu kama mimi), mimi nimetoa mfano wa rafiki yangu ambae ashakata nyundo tano hapa na ana mwenza yuko mbali na yeye hata travel document hana, mzembe aliuchuna sana lakini sasa hivi anafyeka kiaina, na jamaa alikuwa anampenda manzi wake kitaitanic yaani
Okay Babu hayo mazingira ni such as what? What makes it so difficult on your side?TF,
Sijui kama mie au Lawyer wetu (Klorokwini) tumesema kuwa it is impossible...Ila tumejaribu kueleza kuwa caveats zinazolizunguka hili suala zinalifanya lionekane kama vile haliwezekani. Labda katika mazingira maalumu na kwa muda mfupi sana...!!
Acheni nilog out lakini LDR haiwork na ujumbe wangu ni kama hamuwezi kufungashana virago mkasaifiri pamoja basi bora mkufe na umaskini wenu lakini mapenzi yatadumu.Miezi mitano bila kuonana ni mingi sana Kloro. . . hata kama utaweza kuvumilia hutokua na raha.
Kloro kuna wale wana chakula nyumbani na bado wakitoka nje wakihongwa watakula hicho chakula na ndio maana nikasema kuwa it doesn't matter uko North Pole au uko MorogoroJibaba kuna point unaimiss hapa. Unaweza ukakaa wiki nzima bila ya kula lakini hii haimaanishi kwamba ndio inawezekana kukaa wiki bila kula. Na unapokuwa na njaa ni very easy kuhongwa chakula kuliko unapokua umeshiba. dig deep utaipata point yangu
Mimi kidogo mpaka ninajisifu,niko married to someone,lakini ninakuhakikishieni sijawahi kum-cheat hata siku moja.Ninafanya kazi mbali na yeye lakini japo bado mimi ni kijana in my mid-twenties nimemudu kuyashinda majaribu,i don't care kama yeye ana-cheat dhidi yangu.
Nina mifano kadhaa kuhusu yote hayo mawili, ila sitaweka conclusion. Itakuwa ni jukumu la msomaji kujudge.Zote Kibunango.
Walioanza karibu ikabidi mmoja asafiri ,pia walioanza tayari wakiwa mbali mbali.
Hongera sana kwa hilo.Mimi kidogo mpaka ninajisifu,niko married to someone,lakini ninakuhakikishieni sijawahi kum-cheat hata siku moja.Ninafanya kazi mbali na yeye lakini japo bado mimi ni kijana in my mid-twenties nimemudu kuyashinda majaribu,i don't care kama yeye ana-cheat dhidi yangu.
TF,
Sijui kama mie au Lawyer wetu (Klorokwini) tumesema kuwa it is impossible...Ila tumejaribu kueleza kuwa caveats zinazolizunguka hili suala zinalifanya lionekane kama vile haliwezekani. Labda katika mazingira maalumu na kwa muda mfupi sana...!!
Babu kwanini mnabisha kwamba haiwezekani i've a couple of people being successfull in long distance relationship...mimi argument yangu ni kuwa tusiweke misingi ya kusema kitu fulanI hakiwezekani ili hali inawezekana kuna different circumstances ambazo zipo kwa kila mtu at a certain point lazima tukubaliane kuwa inawezekana
Miezi mitano bila kuonana ni mingi sana Kloro. . . hata kama utaweza kuvumilia hutokua na raha.
Hahahaha! Jibaba naona unajaribu kumu-impressHalaf leo nimemuintroduce member mpya ku join JF akikuja hapa na akiniulizia hakikisheni hamchafui CV, amepata ka loan nakanyemelea
It DOESN'T HAVE TO BE.
Okay Babu hayo mazingira ni such as what? What makes it so difficult on your side?
Kama unajua kuwa baada ya miezi hiyo 5 mnarudi kwenye maisha ya kawaida basi siyo mingi hata kidogo....Watu wanakaa hata mwaka ila matarajio kwamba wanatukuwa re-united yanawapa nguvu sana!!
Ila extended LDRs ni disaster!!
Babu DC!!
No it does not.Theoretically it doesnt' but practically it does!!
Mfano, umepata bonge la consultancy au shule na unatakiwa kuwa mbali. Na pia kutokana na kazi ya spouse wako, hamuwezi kuonana mara kwa mara kwa sababu hamuwezi kusafiri mara sana ndani ya kipindi cha mwaka moja hivi..ila mnaweza kuonana labda mara moja au 2!!