Fans wa Ali Kiba awapendwi na Ali Kiba

Katika page yake ya Instagram Ally Kiba ham-follow yeyote
Je huo ndio utafiti??? Mkuu kama tafiti ndio hizo basi kila mtu atakua anafanya tafiti sasa. . au ungekuta twitter kule lowassa ana follower kama milion tano hivi
 
Kuwa msomi kidogo.tuma kama link au ushahid wa inachosema hii forumn imeingiliwa
 
Ok sawa aaanze kuwa follow fans wake manake ipo siku atawatafuta asiwaone popote! Akumbuke hata Mr nice naye alikua anapendwa pia kwy zama zake ila muangalie leo anahali gani??...tafakari chukua hatua!
 
Utafiti uliofanyika siku za ivi kalibuni umeonesha kuwa mashabiki wa alikiba wana jikomba nakumpenda mtu asie wapenda na anae wadharau..... Unazungumziaje utafiti huo

Kweli wewe ni juma juxx
Lakini siyo Juma Jux
Thsy ata IQ yako ni 1/4.
Ahsante.
 
Ulifanyika wapi na kwa watu wangapi? Nani aliufanya?
Wapi data zake na ripoti yake? ?
Weka data zako
HATUTAKI MBOYOYO. ...
Vinginevyo itakua ni chuki, uzushi na ubuyu mtupu
Kwani ukufatilia twaweza mkuu
 
KAJAMAA KANAMARINGO MBAYA,SHORLY HAKAFAI KABISA ISPOKUWA NYIMBO ZAKE NZURI SANA./
 
ni kweli mkuu..nakumbuka mahojiano yake na millard ayo..aliulizwa anaizungumziaje watu wanaojiita timu kiba kubishana mitandaoni akasema ni kwa sababu hawana kazi za kufanya so wana muda huo
 
TWAWEZA hadi huku mpo! Mmetisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…