King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tabia ya kutomfollow mtu hata m1 inaonyesha tabia yake ya kujiona yupo juu,yaani kuvuliwa chupi na mlupo jokeri ndio kuona yupo juu? Aache tabia zakiwaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ni kweli mkuu..nakumbuka mahojiano yake na millard ayo..aliulizwa anaizungumziaje watu wanaojiita timu kiba kubishana mitandaoni akasema ni kwa sababu hawana kazi za kufanya so wana muda huo
Followers wa lowassa ni wa kuchonga tuJe huo ndio utafiti??? Mkuu kama tafiti ndio hizo basi kila mtu atakua anafanya tafiti sasa. . au ungekuta twitter kule lowassa ana follower kama milion tano hivi
wewe diamond ameku follow?Katika page yake ya Instagram Ally Kiba ham-follow yeyote
Ndiowewe diamond ameku follow?
Akili nyingine bhaba.