King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ni kweli mkuu..nakumbuka mahojiano yake na millard ayo..aliulizwa anaizungumziaje watu wanaojiita timu kiba kubishana mitandaoni akasema ni kwa sababu hawana kazi za kufanya so wana muda huo
Followers wa lowassa ni wa kuchonga tuJe huo ndio utafiti??? Mkuu kama tafiti ndio hizo basi kila mtu atakua anafanya tafiti sasa. . au ungekuta twitter kule lowassa ana follower kama milion tano hivi
wewe diamond ameku follow?Katika page yake ya Instagram Ally Kiba ham-follow yeyote
Ndiowewe diamond ameku follow?
Akili nyingine bhaba.