Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 998
- 987
hakuna kulipwa direct ila huwa Kuna zawadi zinatolewa kwanzia mshindi wa game week husika, mwezi na msimu pia.Fantasy league mnalipwa.
Nipen update
Nasubiria.Hivi Fantasy PL ni nini?
Inachezwaje na ina faida gani?
Kama vipi mods waunganishe Uzi na ule mpya
DuhMkuu naomba maelekezo kidogo kuhusu hili .