Fantasy Premier League(FPL) Official Thread

Fantasy Premier League(FPL) Official Thread

Life starts at 45

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
998
Reaction score
987
Kwa wale wapenzi wa mchezo wa Fantasy Premium League, huu utakuwa uzi wetu wa kubadilishana mawazo nakuona namna ya kupata hiyo nafasi ya kwende Uingereza kuangalia mpira game kadhaa za uchaguzi wako.
 
mods naomba mbadilishe hapo titl6nimekosea nimeweka "Threa6" badala ya "thread"
 
kikosi kazi changu cha kuishi nacho week hii
Screenshot_20211210-212501.jpg
 
kuna league ilikuwepo humu last season...na me nilikuwemo piah...bt msimu huu sijaon mtu akirenew ile ya last season...
 
Mzee unatoa maelezo mafupi kama ulitype huku unakatiza kituo cha police na bangi.
 
Mleta mada aliondoka na Covid nini? Moderators mpeni mtu auendeleze huu uzi.
 
Back
Top Bottom