Tumi Lambo
Member
- Oct 21, 2021
- 63
- 27
Hei, vipi!!?? Mungu atapaa chini lini wenye hayo maluelue na kumsuburi wapae naye mbinguni na kuwalisha duniani kimiujiza bila kufanya kazi, WAKATI MUNGU WA KWELI ANASEMA, ASIYEFANYA KAZI NA ASILE, NA MBINGUNI NI KWA NJIA YA KIFO TU!!?? Hivi, waliokufa sasa hawako mbinguni, wameozeana mpaka Mungu wa bandia apae chini!!?? KUNA MUNGU MMOJA TU, AMRI YA MUNGU YASEMA. Ila tucheke tu.