Fanya biashara kisasa ukiwa na Lipa kwa Mpesa

Mimi nnayo lipa namba,lakini Kila nikienda kutoka Hela inakatwa? je ni kweli lipa namba ni Bure kuweka na kutoka?
 
Zina gharama kubwa siku hizi. Bora kupokea Cash Mteja anayelipa anakatwq charges. Wewe piya ukienda kutoka or kuhamisha Kuna charges. Ina Double charges
 
mkuu hapa unamaanisha nini?
Je nikiwa na shilingi elf1 ninaweza kutoa elf1 yote?
Lazima ukatwe Hii huduma inatumaliza taratibu. Juzi nilikuwa. Nataka kulipia bidhaa ya Tshs 57000/ na kwenye Simu nilikuwa na 60,000/ Bado ikagoma kuwa Salio langu halitoshi kulipia hiyo hela
 
ndio maana nikamuuliza hivyo. Ila elf57 halafu una 60k imegoma mimi najuaga wanakata lakini si mpaka elf3 nzima. Au ilikuwa ni mtandao tu mkuu?
 
Aina mana kama mteja anakatwa na mfanyabznes nae atakatwa.
 
mkuu hapa unamaanisha nini?
Je nikiwa na shilingi elf1 ninaweza kutoa elf1 yote?
Ndio inatoka yote kabisaaa na wakala hakukati hata senti lakini kwa siku uwe muamala mmoja wa kutoa ila ukizidi muamala mmoja kwa siku ndo unakatwa, yaani kuanzia ule wa pili na kuendelea maana yake wa kwanza hautokatwa ila kuanzia wa pili ndo utakatwa na hilo sidhani kama linaweza kumshinda mtu
 
Lazima ukatwe Hii huduma inatumaliza taratibu. Juzi nilikuwa. Nataka kulipia bidhaa ya Tshs 57000/ na kwenye Simu nilikuwa na 60,000/ Bado ikagoma kuwa Salio langu halitoshi kulipia hiyo hela
Je, wewe ulikua una laini ya lipa? Au laini ya kawaida? Maana laini ya kawaida hiyo unakatwa lakini ni gharama kidogo sana tofauti na ile ungeenda kwa wakala kutoa hela na uje kulipia hiyo bidhaa ulonunua kwa cash ila ukiwa una laini ya lipa haukatwi hata senti kwa muamala mmoja kwa siku NADHANI HAPO UMENIPATA BOSS labda kama hutumii voda maana nasikia mitandao mingine ndo wanakata japo sina uhakika sana kwa sababu mimi nashughulika na Voda tu
 
ndio maana nikamuuliza hivyo. Ila elf57 halafu una 60k imegoma mimi najuaga wanakata lakini si mpaka elf3 nzima. Au ilikuwa ni mtandao tu mkuu?
Kama ni laini ya kawaida na analipia bidhaa wanamkata 1700Tsh tu kuanzia 50,000Tsh hadi 99,999Tsh ila angekua na laini ya lipa asingekatwa hata mia
 
Ndio inatoka yote kabisaaa na wakala hakukati hata senti lakini kwa siku uwe muamala mmoja wa kutoa ila ukizidi muamala mmoja kwa siku ndo unakatwa, yaani kuanzia ule wa pili na kuendelea maana yake wa kwanza hautokatwa ila kuanzia wa pili ndo utakatwa na hilo sidhani kama linaweza kumshinda mtu
aiseeee mbona nishazunguka sehem zote wanasema huwezi kutoa pesa yote iliyopo? Kwan ni nchi gani hiyo unazungumzia?
Sasa kama ni wa kwanza kwann useme haukatwi kabisa katika maelezo yako? Sema kukatwa kupo
 
Upo mkoa gani kiongozi
 
aiseeee mbona nishazunguka sehem zote wanasema huwezi kutoa pesa yote iliyopo? Kwan ni nchi gani hiyo unazungumzia?
Sasa kama ni wa kwanza kwann useme haukatwi kabisa katika maelezo yako? Sema kukatwa kupo
Na nimefungua lipa zaidi ya 50 na zote hamna mtu anaekuja na malalamiko ya kukatwa labda mawakala unapoenda kutoa ndo wanakukata kwa manufaa yao kwasababu endapo una laini ya lipa na ukatoa hela kwa wakala, huyo huyo wakala mwisho wa mwezi anapokea kamisheni yake sasa anapokukata maana yake anajipa faida mala mbili
 
Back
Top Bottom