Fanya biashara kisasa ukiwa na Lipa kwa Mpesa

Fanya biashara kisasa ukiwa na Lipa kwa Mpesa

Na nimefungua lipa zaidi ya 50 na zote hamna mtu anaekuja na malalamiko ya kukatwa labda mawakala unapoenda kutoa ndo wanakukata kwa manufaa yao kwasababu endapo una laini ya lipa na ukatoa hela kwa wakala, huyo huyo wakala mwisho wa mwezi anapokea kamisheni yake sasa anapokukata maana yake anajipa faida mala mbili
Weka jedwali la gharama za lipa number Kwa mujibu wa Vodacom acha kudanganya watu. Hiyo huduma ni lazima ulipie
 
Nina lipa ya voda na airtel.
Wakati wa kutoa;
» Voda hukatwi ila masharti utoe mara moja kwa siku. Ila nimesikia kuna baadhi wameanza kukatwa.
» Airtel wanakukata kiasi kidogo mara 1 kwa siku, ila mara ya 2 wanakata sawa na wengine.

Unapolipia kutoka tigo kwenda voda makato ni makubwa sawa na kutoa kwa njia ya kawaida.
 
Nina lipa ya voda na airtel.
Wakati wa kutoa;
» Voda hukatwi ila masharti utoe mara moja kwa siku. Ila nimesikia kuna baadhi wameanza kukatwa.
» Airtel wanakukata kiasi kidogo mara 1 kwa siku, ila mara ya 2 wanakata sawa na wengine.

Unapolipia kutoka tigo kwenda voda makato ni makubwa sawa na kutoa kwa njia ya kawaida.
Fact upo sawa kabisa👏
 
LIPA KWA M-PESA Ni laini ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya wafanyabiashara wooote iwe online business, Sheri, Hotel,Guest House, makampuni mbali mbali n.k. Hiyo yote ni kwa ajili ya kuuzia bidhaa na kutunza fedha za mfanyabiashara ili ziwe salama zaidi lakini pia kuwaweka wateja wake kwenye ulimwengu wa kisasa zaidi, pia inamsaidia kuepuka kupokea fedha feki, iliyochakaa au kuharibika, faida zake ni nyiiingi saaana.

LAINI hizi hutumiwa pia na Mawakala kwa matumizi ya kutoa pesa

Kwa wafanya biashara mfano Maduka, Mteja Anaweza kulipia bidhaa kwa kulipa kupitia simu na hii ndio sababu ya LAINI hizi kupewa jina la LIPA NAMBA
AU LIPA KWA SIMU

FAIDA YAKE
🤗Line ya Lipa namba inakuwezesha kutoa pesa kwa wakala yeyote bila ya kuwa na makato YEYOTE
🤗Line unauwezo wa kupokea pesa kutoka kwa mtandao wowote bila ya kuwa na makato ya ziada
😎line inauwezo wa kupokea pesa Hadi milioni 50 na wakati laini ya kawaida haiwezi kupokea kiwango kikubwa Cha fedha!!
🔥Unaweza ukahifadhia pesa zako
💪FAIDA KUBWA YA LIPA NAMBA NI KUTOA PESA BILA MAKATO YEYOTE

LIPA NAMBA NAIPATAJE
🤔Lipa namba ya M-Pesa vigezo Ni:-👇
1. TIN number. Kama hauna utatengenezewa
2. Namba ya kitambulisho Cha NIDA
3. Line ya VODA sajiri zingatia LAINI ISIWEZESHWE M-PESA sajiri tu Kisha nipe namba

🤙Nitafute kwa namba 0765400947 (Whatsapp,simu,Sms)
🤞Ukiwa MWANZA naweza kukufata Ulipo

🤲KARIBUNI SANA
GHARAMA: 10,000Tshs

🙏🙏🙏🙏🙏
Heyyyy... Mamboz. . . Nahitaji hii huduma.... Asanteeee
 
Mimi natumia lipa namba ya Vodacom na ina manufaa mengi. Ukitoa pesa mara moja kwa siku hakuna makato yeyote, ukilipa kwa simu muamala wa kwanza hakuna makato. Pia inaepusha uraibu wa songesha tofauti na laini za kawaida. Changamoto kubwa ni kwamba huwezi kurushiwa vocha tu.
 
Mimi natumia lipa namba ya Vodacom na ina manufaa mengi. Ukitoa pesa mara moja kwa siku hakuna makato yeyote, ukilipa kwa simu muamala wa kwanza hakuna makato. Pia inaepusha uraibu wa songesha tofauti na laini za kawaida. Changamoto kubwa ni kwamba huwezi kurushiwa vocha tu
Kuetengeneza Voda lipa ni bure lakini mnacharge,kulikoni?
Ukienda vodashop ni bure kabisa. Hawa wanacharge kama commission na si mbaya kuwaungisha rizki yao.
 
Back
Top Bottom