Fanya biashara kisasa ukiwa na Lipa kwa Mpesa

Weka jedwali la gharama za lipa number Kwa mujibu wa Vodacom acha kudanganya watu. Hiyo huduma ni lazima ulipie
 
Weka jedwali la gharama za lipa number Kwa mujibu wa Vodacom acha kudanganya watu. Hiyo huduma ni lazima ulipie
Wewe uliona wapi voda wametoa jarida kwamba mfanyabiashara akiwa na lipa na akaenda kutoa hela ya mauzo yake anakatwaa?
 
Nina lipa ya voda na airtel.
Wakati wa kutoa;
» Voda hukatwi ila masharti utoe mara moja kwa siku. Ila nimesikia kuna baadhi wameanza kukatwa.
» Airtel wanakukata kiasi kidogo mara 1 kwa siku, ila mara ya 2 wanakata sawa na wengine.

Unapolipia kutoka tigo kwenda voda makato ni makubwa sawa na kutoa kwa njia ya kawaida.
 
Fact upo sawa kabisa👏
 
Heyyyy... Mamboz. . . Nahitaji hii huduma.... Asanteeee
 
Mimi natumia lipa namba ya Vodacom na ina manufaa mengi. Ukitoa pesa mara moja kwa siku hakuna makato yeyote, ukilipa kwa simu muamala wa kwanza hakuna makato. Pia inaepusha uraibu wa songesha tofauti na laini za kawaida. Changamoto kubwa ni kwamba huwezi kurushiwa vocha tu.
 
Mimi natumia lipa namba ya Vodacom na ina manufaa mengi. Ukitoa pesa mara moja kwa siku hakuna makato yeyote, ukilipa kwa simu muamala wa kwanza hakuna makato. Pia inaepusha uraibu wa songesha tofauti na laini za kawaida. Changamoto kubwa ni kwamba huwezi kurushiwa vocha tu
Kuetengeneza Voda lipa ni bure lakini mnacharge,kulikoni?
Ukienda vodashop ni bure kabisa. Hawa wanacharge kama commission na si mbaya kuwaungisha rizki yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…