Jamani kuna watu mpaka leo hii wanaona biashara mtandaoni ni wazo la kusadikika, kuna watu kila kukicha wanatengeneza hela nyingi sana kwa kutumia fursa hii ya bishara mtandaoni. Mfano mdogo tu miaka mitatu iliyopita mimi nilianza ya mtandaoni na tangu wakati huo sijawah kutamani hata kuajiliwa. Ushauri wangu jamani hizi fursa zinapojitokeza hebu tuzichangamkie.
Kuna watu wanauza mahindi online, wanauza sabuni online, wana maduka huko na maisha yako yanaenda. Kama kuna ambacho unahtaji kujua kuhusu hili uliza swali nitakusaidia kukupa majibu ya swali lako.