Fanya biashara mtandaoni

Fanya biashara mtandaoni

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
756
Reaction score
751
Jamani kuna watu mpaka leo hii wanaona biashara mtandaoni ni wazo la kusadikika, kuna watu kila kukicha wanatengeneza hela nyingi sana kwa kutumia fursa hii ya bishara mtandaoni. Mfano mdogo tu miaka mitatu iliyopita mimi nilianza ya mtandaoni na tangu wakati huo sijawah kutamani hata kuajiliwa. Ushauri wangu jamani hizi fursa zinapojitokeza hebu tuzichangamkie.

Kuna watu wanauza mahindi online, wanauza sabuni online, wana maduka huko na maisha yako yanaenda. Kama kuna ambacho unahtaji kujua kuhusu hili uliza swali nitakusaidia kukupa majibu ya swali lako.
 
Tatizo la biashara hizi wahuni Sio waaminifu wamepelekea kuifanya biashara kuonekana ya kitapeli

mizigo haifiki pesa wamekua au
inafika lakini sio Mteja aliouagiza
 
Mtu mwenye duka la rejareja anawezaje kufanya BIASHARA hii mtandaon?
 
Back
Top Bottom