Fanya biashara na mimi

Nifanyebiashara nawewe kwa misingi ipi,weka waz bishara unazofanya na faida zinazopatikana utawanasa watu kiraisi otherwise utasugua bench.
 
Mojawapo ya dalili za kufeli unapoanzisha biashara ni kutojua ni kitu gani unafanya......hii hufanya wadau wapate shida kujua unadeal na nini kama labda pengine biashara yako ni ya magendo au ni halala....
 
Hakuna biashara magendo alafu ikatangazwa rekebisha kauli hiyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…